Wasaalaaaaam,
Bwiru ni shule ya mchepuo wa ufundi, ipo wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanzaa.
Ni baadhi ya mashairi yalipo kwenye wimbo wa Shule yetu pendwa, Nilifanikiwa pita Bwiru kwa miaka minne...
Habari wana jamiiforums juzi nimesikia kuna kijana aliyeuawa Africa Kusini akiwa masomoni namtambua kwa jina la nyumbani Baraka Sungura kwa anaejua huyu jamaa alipatwa na nini hadi kupelekea mauti...
Ndg jf naombeni msaada nahitaji chuo kuzuri cha kusoma community health mwaka Jana nlituma maombi vyuo vya serikali sikubahatika kuchaguliwa sasa nimeamua kutafta hata vya private
Wakuu kwema
Hili suala naomba liwafikie wenye mamlaka ,sisi watumishi wa umma tumekubali kuwa serikali haina pesa na haiwezi kutulipa pesa nyingi , tumeumia ,tumevumilia na sasa tumezoea ila...
Serikali imezuia WANAFUNZI kurudia darasa.Zamani ilikuwa iwapo mwanafunzi ameshindwa kuelewa masomo fulani kama vile Hesabu au Kiingereza mzazi/ WALIMU waliweza kumrudisha darasa mwanafunzi huyo...
Naomba kujua kama chuo cha uhasibu TIA kama kina foundation course ambyo hutolewa kwa ajili ya kumpa sifa mwanfunzi ambae hakuwa na sifa za kusoma ngazi ya cheti,kwa maana ya kuwa na pass nne...
Habar wapendwa wana JF, natafuta chuo kizuri kinachosifika kwenye kutoa mafunzo ya nursing level ya certificate kilichopo Dar Es Salaam naombeni mnitajie .
Wanafunzi wa The Law School of Tanzania wanatakiwa kuingia katika chumba cha mtihani na kitabu kilichotungwa na walimu wao.
Kitabu hiki kinauzwa shilingi 45 elfu.Kwa hali ya uchumi ilivyo hivi...
Nina dogo wangu kamaliza mwaka jana ana 4 ya 30 ana bios C-chemisty D geog D pamoja na kiswahili ana D. Je anaweza kupata chuo cha serikali ..anataka kusoma pharmacy
Usihangaike..!!!!!
Kama unahitaji kufaulu
Masomo ya jioni
katika CERTIFICATE na DIPLOMA katika NURSERY TEACHING, EARLY CHILDHOOD EDUCATION na PRIMARY EDUCATION.
Waalimu ni professional katika...
Salamu wapendwa wana jf
Naomba kuweka wazi kabisa katika hili sipo kwa maslai ya ccm chama tawala au ukawa/chadema kwa wapinzani naomba nisimame kama mtanzania
Siku chache baada ya Mh. Rais wa...
Naombeni msaada kwa anayejua qualification za kupangiwa shule za vipaji coz nina one ya 14 na ukichek hapa mtaani kuna jamaa alipata one ya 17 na akapangiwa Tabora boys
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.