Samahan wana jukwaa la elimu..nimepitia website ya pharmacy council of Tanzania nikakuta list ya approved instution to offer pharmaceutical programs ni chache sana ukilinganisha na idadi ya...
Salamu zenu ndugu zangu
Natumaini ni wazima kwa uwezo wa Mungu
Ninachoitaji kutoka kwenu ni ushuri pia na Msaada mkubwa toka kwenu ninachoomba kutoka kwenu ni
Kwanza kabisa mm nachukua mchepuo...
Nina swali la Physics hapa katika Mada ya Density
Qn:A cup made of an alloy of gold and silver has 60cm³ and mass of 1050g.Find mass of gold in the cup.?
Density of gold =19.3g/cm³
Density of...
Wapendwa wanajf naomben ushauri wenu ili niwahi kuzijua na kuzicover mapema topics zenye maswali common Kwenye Physics na Bios advance kwan naamin humu wapo watu mbalmbal wanaoweza kunisaidia
Qn. Social Development is a many sided process which cannot be adequately, explain by bourgeois theory and also by Marxian theory.
Tafadhali nisaidieni in nitesa sana.
Habarini za asubuhi,
Naomba kufahamu kama aina hii ya elimu bado inapatikana nchini kwetu, inatolewa na vyuo vipi, kwa gharama ipi na ni elimu ya aina gani? (biashara,kilimo,ufugaji n.k).
Kwa...
Nikiwa mmoja wapo wa wanachuo ambao nitakuwa mhitimu panapo majaliwa miaka kadhaa kama mungu atanipa uhai mbeleni nadhani kuna ndoto ambayo wanachuo wote bado tunazo za kumaliza chuo na kupata...
Kama ni gharika, hili ni balaa!
Tangu wiki iliyopita, kuna orodha ya watumishi wametumbuliwa kwa madai ya kutokidhi vigezo.
Tetesi ni kuwa " uhakiki wa vyeti" bado unaendelea n.a. matokeo ni...
Habari zenu wana forum
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka Jana 2017
Nimefaulu kwa alama kama mnavyo ona hapo chini
Civics D
Geography C
Kiswahili C
English C
Chemistry D
Engineering Science...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo ametoa maelekezo kwa Wakuu wa Wilaya na Watendaji Wa Kata na Vijiji kuwakamata wazazi pale ambapo itagundulika watoto wao wana ujauzito na kuwafikisha...
Ukweli ni kwamba vyuo vikuu vingi havina walimu wa kutosha wenye sifa za kufundisha kozi za PhD, Masters na bachelor's degree. Vyuo vingi havina madarasa, maabara na sehemu za kufanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.