Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau natumai wote muwazima! Mi nataka kufanya LL.M naomba kwa mwenye Links za scholarships kwa distance learning kwa ajili ya Masters anisaidie tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo VP? Mimi ni muhitimu wa form4 2017 namshukuru mungu nimefaulu mtihani wa taifa na nimepata division 2.18 Na huu ndio ufaulu wangu English=A Bio=B Math=C Geo=C Ksw=C Civ=c Phy=C Chem=C...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari wadau wa JF, Leo tena Benki ya Dunia kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wanakutana kwenye ukumbi Council Chamber hapa UDSM kwa ajili ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za siku nzima wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Naombeni kufahamishwa chuo chenye intake ya mwezi wa nne kwa kozi ya diploma in clinical medicine. Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarini wana JF naomba wenye uelewa wa hiyo kozi wanisaidie kujua fursa zake hasa kwa kujiajiri zipoje?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ingia www.nacte.go.tz uweze kuapply Deadline Tar 01/10/2017 Wahi mapema. ======= TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI KWA AJILI YA UHAKIKI WA TUZO MBALIMBALI KWA WALE...
1 Reactions
48 Replies
12K Views
Kwa tetesi au uhalisia kwa mnavyojua, ni lini NACTE watafungua dirisha la udahili kwa mwaka wa masomo 2017/2018. Tumekaa mitaani, hatuna la kufanya tunawasubiri NACTE. Kisha naona mwaka huu...
1 Reactions
27 Replies
10K Views
Habari wakuu. Mimi ni mmoja wa wanaosubiria kufanya maombi ya kujiunga na elimu ya juu(vyuo vikuu),nimekuwa nikitembelea tovuti(website) yao Mara kwa Mara kuona kama kuna updates zozote juu ya...
3 Reactions
22 Replies
9K Views
Excellent Training Center ni miongoni mwa vituo bora kabisa vinavyofanya vizuri kwa wanafunzi wa QT na Resitters, tunaendelea na usajili wa QT na Resitters mwaka 2018, waliosoma kwetu wamefaulu na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Naomba msaada kutoka kwa wataalamu wa uchumi na biashara (mainly), au mtu yeyote mwenye uelewa katika maswali yanayonisumbua kama ifuatavyo; 1. Kwanini kwenye electronic marketing...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Habari Wakuu Kwanza nikubali mimi ni mgeni katika JF na nimefurahi kwani hii forum ina elimisha kuliko mtandao mwingine wa kijamii na pia kuna Members wapo tayari kuelimisha; huu ndo uTanzania...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
TAHLISO nimeona kauli yenu ila napenda kujibu hivi. TSNP ni non-profit organization, ni Civil society .sio tawi la serikali,wala sio tawi la chama cha siasa .kazi yetu kubwa ni kutetea haki na...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu mimi nilikuwa mwalimu wa sekondari nimepelekwa msingi naombeni uzoefu humu ndani mwalimu wa shule ya msingi
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu habari za kazi. Kuna short course ya data analysis and visualization inatolewa na UDSM kupitia college of ICT, Kijitonyama, Tanzania data Lab. Ningependa kujua kama kuna mtu aliyewahi ku...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuendelea kusua sua kwa maendeleo na ufaulu katika masomo ya Hisabati na Sayansi kumewafanya wadau mbalimbali kushirikiana na kutafuta namna ambavyo wanaweza kushirikiana kuongeza ufaulu katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu.. Nina ndugu yangu mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2014 alipata ufaulu wa MERIT KWA MATOKEO HAYA: CIVICS. D HISTORY B GEOGRAPHY B KISWAHILI B ENGLISH B+ PHYSICS C CHEMISTRY B...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Mvumilivu hula mbivu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau,Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE ila amepata daraja la nne pointing 27,yaani Physics -F, Chmistry-F, Biology-D, Kisw-C, Histor-D, Engl-C, Math-F, Civics-F, Geog-D, sasa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zilizojiri jijini Dar es salaam ni kwamba Dr.Shayo ameanza rasmi kumwaga lecture kama mhadhiri mwandamizi wa uchumi, chuo kikuu huria cha tanzania. Hongera sana Dr.Shayo. Nchi inahitaji...
0 Reactions
79 Replies
12K Views
Back
Top Bottom