Habari Wana jamvi , hv juz nilileta uzi umu kuhusu mdogo wangu anaetaka kurisit nashukuru kuna walionishauli point sana, leo nimekuja kuuliza kama kuna mtu anapajua morogoro , maeneo ya nane nane...
Mdogo wangu kamaliza kidato cha nne 2017 na kapata Div I 14, masomo yoote kapata wastani "B"
Natafuta PRIVATE SCHOOLS atakayoweza ku-soma PCB iliyoko mkoa wa Mwanza
Tafadhali naombeni msaada wenu JF
Kama ilivyo ada ya wana jamiiforum kupeana ushauri na kuelekezana pamoja na kushare idea. Naombeni wakuu mseme chochote cha msingi aidha madhaifu ya hicho chuo au ubora wake kitaluuma asanteni sana.
Habari wakuu,
Naomba kuuliza, kuna uhusiano wowote kati ya Radi na Rangi ya kitu mf nguo, nyumba n.k? Maana tangu nipo mdogo huwa nasikia radi huwa inapiga vitu vyenye rangi nyekundu, na hapa...
Habari,
Kuna rafiki yangu niliemaliza naye kidato cha nne mwaka jana na matokeo yake ni
M 27 IV CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' LIT ENG - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
Sasa...
Habari zenu wakuu.
Niko Korogwe Tanga kikazi, nina idea ya kupata pesa somewhere.
Kwa mwalimu anayekaa Korogwe aje pm tuyajenge.
Sifa
1. Awe vizuri kufundisha Hisabati na Physics (o level)
2. Awe...
Habari wakuu wote humu.?
Nimatumaini yangu nyote ni wazima na mnaendelea kupambana na hali zetu hususani katika kipindi hiki cha awamu yatano.
Katika kuhakikisha Maisha yanaendelea kwa kutanua...
Katika gazeti la Mwananchi la 22/02/2018 nilisoma makala inayohusu mkuu wa mkoa wa Dodoma kukabidhi bendera nyeusi kwa wilaya pamoja na shule ambazo zimefanya vibaya katika mitihani ya Sekondari...
Serikali badala ya kushusha walimu kutoka sekondari kwenda msingi "permanently " na bado humalizi tatizo la idadi ya walimu msingi basi kumbe mngeamua tu kuwa walimu wa sekondari wote kwenye mkoa...
Habari zenu wakuu, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ninayesomea taaluma ya fedha (Bcom. Finance). Napenda kuendelea na Masters' Degree mara tu nitakapomaliza...
Wadau, nimehamia hivi karibuni Buyuni Italiano kama unaenda Chanika.
Namtafutia mwanangu shule, ili mwakani aanze darasa la kwanza, shule nataka ya taasisi za kidini au watu binafsi, na iwe na...
Habari bandugu,
First born wangu amemaliza kidato cha nne na amepata div. II ya point 20. Ni mvulana na anataka comb. ya EGM.
Najua anaweza kupata shule ya Serikali, lakini natafuta ya private...
Huu sasa ni uonevu uliovuka mipaka. Mm ni mwl wa art, nimehamishiwa shule ya msingi ndani ya kata. Lakini cha kushangaza mwl mwingine wa art kama mm leo ameripot shule niliyohamishwa mm tena...
Habari wana bodi
Naomba kujuzwa kwa waliobahatika kupata skolaship nchi za asia hasa KOREA na CHINA, kwa level ya mastars vip kiasi kidogo unachopewa unaweza uka-save kdg? na kwa wastani ni sh...
Mheshimiwa Profess Ndalichako, Unafahamu kuwa kuna watu wako Sekta binafsi ila wanatumia vyeti vya watu waliopo Serikalini?
Je, unafahamu kuwa wale madaktari, walimu na watendaji wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.