Wakuu kwema?
Nataka kufanya MBA kwa distance learning kutoka vyuo vya nje ya nchi hasa napendelea vyuo kutoka nchi za uingereza,marekani na south Africa.
Naomba kufahamishwa vyuo husika...
Kuna jamaa huwa wanadai kuwa CPA inabana vibaya na vijana wanalia,wakati MBA mambo ni laini kabisa.Binafsi sina hoja maana ninavyofahamu moja ni professional na nyingine ni academics zaidi.
Leo katika Historia...
Siku ya tarehe kama ya leo mnamo mwaka 1965 Ni siku aliyeuawa mwanaharakati Mashuhuri duniani wa kupigania haki za watu weusi(akina sisi).. Malcolm X, kwa kupigwa risasi...
Habari za muda huu.
Je naweza kujiunga na chuo kingine katika kozi ya Diploma In Computer science kwa kutumia Score Sheet za kila semester niliyopata katika chuo kingine? Kikubwa ninachohitaji...
habari zenu wakuu..
.. poleni kwa mihangaiko yenu ya hapa na pale, pia napenda kuwapa pole wale wenzangu wooote waliokosa mikopo!
wakuu, naomba kufahamu ni vyuo gani vizuri kwa mkoa wa dar es...
I Yujinah an applicant student for MSc at University of Antwerp in Belgium. Here I'm seeking for your help b'coz kuna vitu vichache vinanichanganya hasa kuhusu legalisation ya documents zng ili...
mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka 2014 na matokeo yangu ni kama ifuatavyo
1. Civics - E
2. History - E
3. Geography - D
4. kiswahili - D
5. English - D
6. Biology - E
7. Mathematics - F
8...
Kwa yeyote anaejua, Naomba msaada wa kufahamu vyuo vya private vinachukua hadi GPA ya ngapi kwa wale wenye PASS ? Maana yake ni kwamba.
GPA ya mwisho kuchkuliwa kwa vyuo vya private na ngapi ?
Shule za watoto wenye mahitaji maalum Tanzania ni nyingi, ila zina uhaba mkubwa wa waalimu wabobezi. Zifuatazo ni faida za kuwa mwalimu wa special needs education:-
1. Ajira niyakufikia, ie zipo...
Habari wanataaluma!
Nilikuwa najaribu kulinganisha jinsi Sekta nyingine zinavyotoa huduma na jinsi sekta ya elimu inavyotoa huduma.
Ukiangalia utaona walimu ambao ndio wadau wakubwa katika utoaji...
Yani chuo kama advance bana, yaani msuli kama upo skuli jamani kah. Tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Inasikitisha na inauma sana serikali (TCU na NACTE) kupeleka wanafunzi kusoma Pharmacy na medical lab ilihali wakijua kuwa chuo hakijatimiza vigezo na hakijasajiliwa na Pharmacy Council...
habarini wakubwa kwa wadogo, nilikua naomba mwenye softcopy za notes na past papers za DEVELOPMENT STUDIES 1 na LINEAR ALGEBRA 1, m nipo 1st year apo udsm, msaada wakuu, ahsanteni.
Wadau wa elimu poleni na majukumu. Hivi imeshawahi kutokea shule nyingine wanafunzi wamemaliza kidato cha nne, matokeo yametoka halafu wazazi wanaitwa kwenye kikao cha wazazi na wanafunzi...
Direct kwenye somo tajwa.
Hivi matokeo tajwa yameshatoka? Kama tayari basi mwenye nayo aweke link apa au ayaupload hapa.
Kwenye ukurasa wao hamna kitu.
Habari za jioni wanajamii
Nimeona niiweke hapa jamvini kuhusu bodi ya elimu ya juu kuwabambikia watu madeni, utakuta mtu hata hajasoma chuo kikuu chochote na pia ni darasa la saba lakini from no...
NYAMA,NYAMA- TUIFAHAMU KWA UFUPI
Habari ndugu, pole na majukumu na mshukuru MUNGU kuiona siku na mwaka huu pia. naomba kwa ufupi nieleze machache juu ya nyama kama mboga, faida kadhalika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.