Utakuta kijana kapata div 4 matokeo ambayo anaweza akaenda chuo cha kati lakini ananga'ng'ania kurudia mtihani mbaya zaidi anarudia hata mara tatu na anakosa alichokuwa anatafuta, hafikirii muda...
Kuna mwanafunzi ame graduate form four na kupata ufaulu wa division iv ya point 26. Chemistry D, Biology C, Geography D, English C, History D, Civics D, Kiswahili D, Math F.
Je kwa upande wa...
Poleni na majukumu wakubwa.
Ngoja niende straight foward kwenye lengo la kufungua huu uzi.
Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kuweza kunikopesha 350K,anisaidie,nitaacha cheti changu original cha...
Kuna hiki kimoja kinajiita ZIONI..eti wanakozi inaitwa BUSINESS OPERATION ASSISTANT..
ANDROID BEGINER...
Hivi NACTE huwa wanafuatilia matangazo ya hawa watu..
Mpaka sasa japokuwa siyo rasmi lakini inaeleweka mwanasheria namba 1 aliye mbobezi ktk fani na maarifa yake ni Prof Palamagamba Kabudi. Je, upande wa uchumi nani ni mkali namba One hapa nchini...
Habar wanajamvi...
Nina Certificate ya ICT..tatizo limekuja pale nilipoenda SAUT...Kuapply wakanambia cheti hakitambuliki....wanasema DATABASE ya NACTE...aitambui (AVN)..
.
Nikaamua kuchukua...
Vijana badala ya kuwa mitandaoni kufuatilia siasa na akina nasibu fuatilieni na mambo ya maana kuna mtu anajiita scholarships_masomo insta uwa anapost scholarships na nimeona ametangaza kuanzisha...
wanajamvi ivi kama mtu hajasoma masomo ya sayansi anawaza kusoma kozi ya nursing assistance kama bios kafaulu? na ni vyuo gani msaada please natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wako
Ukizungumzia elimu yetu moja kwa moja utagusa kuhusu kupanua wigo wa technology yetu watanzania katika kukuza soko la ajira na maendeleo katika jamii zetu za huku uswahilini.
Ni vipi pale wasomi...
Habari wanamember wenzangu, kwa siku za hivi karibuni katika sekta ya elimu kumekuwa na utekelezaji wa agizo la wizara ya elimu/Tamisemi kama sikosei la kuhamisha baadhi ya walimu wa sekondari...
Jamani naombeni ushauri nimeacha chuo na nimeamua kurist mtihan wa kidato cha sita mwaka huu kwani nilikua nina uwezo mkubwa darasani ila form 6 sikua serious hata kidogo kwani form4 nilipata...
Jamani nina ndugu yangu anataka kujifunza maswala ya intelligensia na upelelezi na lengo lake kuu ni anataka kufungua kampuni inayo deal na maswala ya upepelezi.
Ni chuo kipi kizuri kujifunza?
Kulingana na mazingira yalivyo,somo hili ni mhimu, maana hata viwanda vinategemea kilimo, na sehemu kubwa ya wakulima wa Tanzania,ni std 7,,hivyo kwa kizazi cha karne hii,somo hili ni mhimu...
Nawasalimia ndugu zanguni,mm nina mdogo wangu ambae nimeamza kumsomesha akiwa darasa la tatu mpaka la saba akafaulu nikampeleka shule moja ya private hapo Dar shule ya Mbezi high.Sasa amemaliza...
Habari zenu wakuu kwa anaye ifahamu Njombe high school yaani;
Kitaaluma ikoje
Mazingira ni rafiki kwa wanafunzi kujisomea?
Ina toa na kufundisha tahasusi(combination) zipi?
Ina walimu bora? na...
Habarini za kazi wakuu kama kichwa kinavyosema Nina ndugu yangu ambaye mwaka Jana ali apply teaching college akachaguliwa kulingana na hali ya kiuchumi kubana akahairisha kwenda sasa mwaka huu...
Wanabodi.,
Kama Kuna yeyote anafahamu Shule yenye kupokea MWANAFUNZI wa kuhamia kidato cha tatu anisaidie MAWASILIANO ya hiyo Shule ili ahamie immediately.
Asante sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.