Kijana huyu amemaliza kidato cha nne mwaka 2011 nakupata daraja la 4 (28).,
Matokeo ni kama inavyo onekana hapa chini,
*Biology - D
*Geography -D
*Chemistry -D
*Civics -D
*English -D...
Jamani wana jf mbona hili swala limekuwa hiding sana kama kuna mtu analifahamu alielezee naona asilimia kubwa watu wanaliulizia.huu utaratibu wa kusoma form five upoje na sifa zake na kama...
Habari yenu wadau wa JamiiForums leo kwa mara nyingine napenda kuwashauri kidato cha sita juu ya kozi za kujaza endapo utahitaji ajira za moja kwa moja utakapomaliza chuo;
Kwa waliosoma ;
1.PCB...
Watu wengine bana wale wakali wa number(Engineers) wamekutwa wakidanganyana eti kwa mwaka huu iko proved kwamba Valentine day haipo.Given Eqution: If VALENTINE DAY =14-02-12 Mathematically...
Habari wakuu?
Ninawatafuta, wahitimu wa BSc.Forestry sana wa mwaka 2016/17
kutoka chuo, kikuu cha Sokoine, naomba sana wale mpo humu jukwaani niwapate wakuu
Nina shida kubwa sana na nyie Foresters.
Ni hiv nina amaount ambayo siijui (x) nataka niki izidisha mara 0.18 jibu lake ni jumlishe na hiyo amount ambayo siijui(x) nipate 378 msaada
Mfanya biashara nime kwama
Mdogo wangu ana division two yeye anataka aende EGM nimemshauri aende CBG kwani Physics aliharibu, hivi kati ya hizi comb ipi nzuri sana kwake na for his future EGM au CBG
Habari wanaelimu,
Nia ujitaji sana na past papers za necta solved katika soft copy. Ningepata hata vitabu vya review vingenisaidia ila nipo interior sana mbali na mjini. Nikipiga gharama ya...
Kwa muda mrefu magic fm 92.9 wamekuwa wakiitangaza shule hii iliyopo Chamazi kama shule bora sana na ni barabara ya kwenda chuo kikuu.Biashara ni matangazo lakini wazazi wasioijua hii shule...
Nina mdogo wangu wa kike yuko form vi CBE na mwezi wa 5 anafanya Necta...Kinachoniumiza dogo kakataa tamaa ya kufaulu anadai masomo magumu mno, keshatuambia akifaulu sana labda div 3 .....Dogo FM...
Habari wana jf.
Naomba nifahamishwe upangwaji wa ada za vyuo vikuu vya binafsi uzingatia maswala gani haswa? Pia kuwepo kwa penalty kwa wanachuo wanao chelewa kulipa ada ni jambo sahihi? Kama ni...
Naomba mnisaidie wana JF kuna dogo langu linariseat form-6
Je, wanawekewa alama kama wanazopata au hatakama amepata 'A' unawekewa principal pass tu yaan 'C' kama wanazopata ilivyo kwa mfumo wa...
Wadau nataka nifanye mtihani wa form six kombi ya EGM au Historia na GM, mimi ni mtumishi wa serikali nimerudia mtihani mwaka jana nimepata nilichokitafuta matokeo ya kwanza nilikuwa na C mbili...
Nimekuwa nikivutiwa kusoma yaani kujiendeleza kimasomo ila kuna minong'ono kuwa digrii zinaweza tofautina ubora kutokana na chuo ulichosomea. Sasa je, nini tofauti ya degree ya chuo kikuu huria na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.