Do you believe in the Laws of thinking?
Lets see what Plato said:
"Socrates, in a Platonic dialogue, described three principles derived from introspection. He asserted that these three...
Nlikuwa mwalimu kwa miaka takrbn miaka minne serikalini nikaamua kukimbilia kwenye majeshi na nikafanya mafunzo kwa miaka miwili jeshi la kujenga taifa lengo ni kuwa zikitokea nafasi jeahi la...
Habari wana jf
Nina mdogo wangu ambaye kamaliza form4 na akapata division 4 ya 28,na amekuwa akihitaji kuwa doctor but marks hazirusu kusomema course ya afya,nimemshauri arudie/kurisit...
Zipo tetesi kwamba leo tarehe 16/02/2018 mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam aitwae AQULINA AKWILINI BAFTAHA, amepigwa risasi na jeshi la polisi akiwa kwenye daladala, Duru zinaarifu kuwa...
Tanzania ilijipatia uhuru wake mwaka 1961 bila kumwaga hata " tone" moja la damu na hadi sasa sisi ni taifa huru. Swali linalonisumbua ni kwa nini baadhi ya vyama vya siasa hapa Tanzania huweka...
Nilipata wasaa kidogo baada ya majukumu yangu ya leo kutazama kipindi kimoja cha luninga kilichokua kinahusisha wadau mbalimbali wa elimu wakijadili chanzo cha shule za umma kufanya vibaya kuliko...
hili Tangazo lilitoka mwaka 2014 wiki kama hii..........
"Vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka 2014 ambao walipangwa kujiunga na JKT awamu ya pili nawana sifa za kujiunga na elimu ya vyuo vya...
Nina mtoto wa ndugu yangu ambaye naona ana akili sana licha ya mazingira ya kijijini kuwa duni. Sasa nahitaji shule ya boarding ya kawaida nimpeleke ili kumwendeleza kipaji chake.
Yaani isiwe...
Habari zenu wana JF,
Niende Moja kwa moja kwenye kilichonisukuma kuandika. Mtanisamehe si mwandishi mzuri, ila ujumbe naamini utafika.
Elimu ya Tanzania ni Elimu ambayo kiukweli imekuwa...
Habari wandugu,
Nilikuwa naomba kujua vyuo ambavyo viko Mtwara vile bora.
Kuna binti mmoja anataka kusoma sasa kaniomba msaada na mimi sio mwenyeji wa huko wala sijawai kufika Mtwara na kaniomba...
Habari wana JF,
TCU juzi wametangaza mfumo mpya kwa wanaotaka kuomba nafasi za chuo mwaka huu, ambapo kwa mfumo uliotangazwa, unamtaka mwanafunzi kwenda moja kwa moja chuoni kufanya application...
Wadau naomba kujua watpto wenye maambukizi, wanaosoma /kufaulu elimu ya sekondari wanathaminiwaje, na kupokewa mashuleni kama wale wasio nayo?na treatment kwao inakuwaje-hasa ikizingatiwa ni suala...
Nina sababu kuu 3
1.Kanda ya ziwa yote haina chuo kikuu
2.Location ya Sengerema ni nzuri kwa kila idara
3.Population ya kanda ya ziwa ni kubwa sana, hivyo inatosha kuwa na chuo kikuu cha serikali...
Heshima kwenu wana jukwaa
Hapa ndo mahali pekee tunakutana na watu wa kila namna.na ngazi zote za elimu kwa nchi yetu, nisiwachoshe niende kwenye mada.
Natambua kuna sababu mbali mbali hufanya...
Samahani wana jamvi. Naomba Msaada wa shule Kwaajir ya PC. Iwe nzury na Ada iwe nafuu kidogo Ikiwa Boding Au Day Sawa ila isiwe Dsm. Morogoro na Iringa first choice
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.