Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ningependa kupata maelekezo ofisi za TCU hapa dar zinapatikana maeneo gani .???
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Elimu hasa kwenye shule zetu za umma iko taabani, viwango vya elimu vinashuka, shule zetu zimegeuka kuwa viwanda vya kuzalisha ujinga. Uwezo wa wahitimu kuchambua mambo na kujenga hoja sio wa...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Out of the candidates who sat for a qualifying test at CBE in a certain year, 75% were males. 54% of the female candidates failed and 70% of the male candidates passed. If 135 female candidates...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu mwenye soft book ya hiki kitabu aweke hapa nipakue
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Jaman kama ilivo title mbona matokeo ya kidato cha nne huchelewa ivi tatizo nn maana kila mtu anatoa hoja zake kwa alie pata habar kamili aniambie tafadhali
2 Reactions
56 Replies
14K Views
Nashauri, serikali iandae walimu, wataalamu kisha waandae vipindi mbalimbali vya masomo, ambavyo vitawekwa kwenye CDs, flash nk, kisha wazisambaze shuleni hasa shule zenye uhaba wa walimu...
1 Reactions
12 Replies
992 Views
Habari wana jf, Mkombozi wa elimu kwa upande wa Pre-Form 5 na wanaosoma PRACTICAL kwa kidato cha NNE na SITA yupo kwa ajili ya kusaidia vijana mbalimbali, pia tunafundisha tuition kwa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kuna wanafunzi hasa waliokuwa wanasoma mbali walikuwa hawarudi nyumbani mpaka wanapomaliza Form 6 Wale wa Kigoma ,mwanza na Ngara huko walikuwa wakiaga nyumbani kwenda form 5 walikuwa hawarudi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tunatoa scholarships (ufadhili wa kimasomo) kwa wale wanaopenda kwenda kusoma nje ya nchi, kama China, Japan na Korea kusini. scholarships hivi ni kwa ngazi ya Phd, Masters, Bachelors na kozi za...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwa wale ambao wanaplan ya kusoma Masters na PhD pale Mlimani ( University of Dar es salaam) kwa mwaka huu 2018 tayari wameanza kupokea maombi. deadline tar 30/05/2018.
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Asalaam wana jukwaa. Nimepata mshutuko mkubwa sana baada ya kugundua kuwa wanafunzi ambao hawakufanya kabisa mtihani Wa form 2 mwakajana wamewekewa matokeo ya kila somo na wamefaulu kuingia form...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Angia maelezo jinsi ya kupakua mitihani iliyopita ECO 111 - Microeconomics ICT 111 - Intro to ICT
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari za asubuhi, Naomba kuuliza hivi nawaeza soma undergraduate ambayo sio ya sheria then nikafanikisha kujiunga na Law School?
1 Reactions
1 Replies
788 Views
Mechanical engineering specializations This is a VERY BROAD subject, which OVERLAPS with lots of other types of engineering. However, the most common specializations of mechanical engineering...
1 Reactions
2 Replies
729 Views
Jamani naweza pata namba za Waziri wa elimu, au naibu waziri wake au hata Katibu mkuu wa Elimu maaana daa watu hawawajibiki wanachuo tunapata shida asee..Msaada jamani wakuu!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naamini wote sisi ni wazima Jana nmeona tangazo linatembea lihusulo uhamisho wa walimu wa secondary wa sanaa kwenda kufundisha shule ya msingi kwa lengo la kufidia upungufu wa walimu uliopo...
4 Reactions
73 Replies
13K Views
Wakuu za asubuhi, niende moja kwa kwenye mada. Kuna rafiki yangu anayesoma Diploma in nursing mwaka wa pili sasa kanielezea hali ifuatayo. Aliamua kusoma Diploma hiyo baada ya wazazi wake kuweka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kujua ni shule gani maana binti yangu anapenda kusoma kombi hiyo. Nataka nimpeleke shule ambayo wanafunzi wengi wanafaulu. NB sihitaji shule za madhehebu ya dini ingawa kwa kutaja...
0 Reactions
5 Replies
992 Views
- - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -Chanzo: Gazeti TAIFA LETU Toleo: 517 Tarehe: Septemba 11, 2009: {Leo}, Front Page, Bolded...
0 Reactions
86 Replies
11K Views
Back
Top Bottom