Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nimekuwa nikifatilia matokeo ya mitihani ya Kitaifa especially kidato cha nne na kidato cha sita. Hoja yangu ni kwanini wazanzibari na shule za uko ndo huongoza kushika namba za mwisho wakati...
0 Reactions
94 Replies
44K Views
Kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la HakiElimu (2017) juu Matokeo ya Utekelezaji wa Sera ya Elimu bila Ada kwa Elimumsingi nchini Tanzania umebaini kuwa uelewa wa wananchi kuhusu sera ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jf, Mdogo wangu wa kike Amefaulu kidato Cha nne kwa kiwango Cha Div IV ya point 26 na hajafanya vizuri Kwenye masomo ya sayansi. Nataka nimtafutie chuo Cha biashara kwa ngazi ya...
8 Reactions
66 Replies
7K Views
Wana jf naomba kujua tofauti ya IT na ICT please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale vijana tuliosoma secondary hapa dar hebu tukutane hapa na kujikumbushia haya yafuatayo MIAKA 95 HADI 2005 KIPINDI HIKI 1.Shule ya azania , pugu na tambaza zilikuwa zinajulikana...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
http://www.mnma.ac.tz/matangazo/malipo.pdf
0 Reactions
2 Replies
4K Views
kwa mwenye namba za alharamain seminary anipe tafadhal anipm au shule yoyote ya advance yenye ada nafuu chini ya milion 1 atuwekee namba tafadhali
0 Reactions
6 Replies
3K Views
kati ya chuo cha ustawi wa jamii na comunity health wapi kuna ajira na wapi kunafa kusoma
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Eti mikopo kwa wanafunzi wa Diploma itaanza kutolewa mwaka huu? Na vipi kuhusu sisi tuliopitia PC kwa CSEE, tunaweza pata mikopo? Na PC wa ACSEE eti chuo wanapata mikopo?
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Somo la hapo juu lahusika. Wadau naomba msaada wa kujuzwa Shule ya Sekondari ya Binafsi (nzuri) yenye kufundisha mchepuo wa ECA ikiwa ya wasichana watupu itapendeza lakini hata kama ni...
1 Reactions
5 Replies
37K Views
NA RUSTON MSANGI. Ualimu ni kada pekee nchini yenye watumishi wengi kuliko kada nyinginezo. Waswahili husema penye wengi kuna mengi pia. Ni ukweli usiopinginga kwamba kila kada ina changamoto...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa kinavoeleza nna mdogo angu wangu ali risiti mtihan ila matokeo yake n mazuru kwan ana B mbili na C tano.. N masom y art ipi combi nzuri kati...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Wakuu anayefahamu shule nzuri kwa kidato cha tano na sita. kwa michepuo ya sanaa. Shule iwe DAR au Pwani. Ikiwa ya wasichana tupu itafaa zaidi. Ada iwe kati ya 1 000 000/- mpaka 3 000 000/-...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Naombaa mtu yeyotee anayejuaa shule nzurii kwa level ya advance zilizopo dar es salaam.. anitajie na kama una contact zao unitumie hapa ntashukuru zaidii nina mdogo wangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar zenu Tafadhali naombeni ushaur wenu Nimepoteza cheti cha form four muda wiki hii sasa kabla cjaenda kurupot polis nimepigiwa cm mahali nikafanye interview na nikafanya tu kibahati...
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Mwezi november mwaka jana tuliarifiwa kuwa promotion kwa watumishi imeanza kshughulikiwa. Naomba kuuliza Kuna mtumishi yoyote ambaye mshahara wake umebadilika au ndio bado wanaendelea kushughulika?
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwanza ;;Hongereni kwa wale wote walioweza kukidhi vigezo vya kusoma Advanced na kuridhia kuendelea kusoma Advanced. •~ Moja ya changamoto mtakazo kutana nazo mtakapo kwenda shule hasa wale...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Msaada jaman hivi inawezekana mtoto akasoma elimu ya sekondari bila kumaliza elimu ya msing kama anajiweza kwa private school ??
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu nimekuwa nikipata shida sana naomba anaejua AM inaanza saa ngapi na kama inaisha saa ngapi animbie pamoja na PM pia ========== AM na PM inatumika ktk mfumo wa masaa 12, sio masaa 24. Hivyo...
0 Reactions
12 Replies
40K Views
Nataka nikasomee masters ya MBA
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom