The Positive Action for Children (PACF) Scholarship Fund combines completion of a health/development-focused qualifying MSc programme with practical industry experience to equip students with the...
Wadau naomba kujua ni software gani nzuri inayoweza kuweka vipimo vya picha za photo Entry. Yan upana 132, urefu, 185 na resolution ya 72.
Ikipatikana inayoweza kuprocess picha zaidi ya moja...
Lile shirika ambao lilijitanabaisha kuwapata wanafunzi mikopo TSSF, sasa wamefungiwa rasmi kufanya shughuli za utoaji wa mikopo ya elimu ya juu badale yake serikali imewataka kupeleka pesa zao...
Habari wadau;
Kuna ndugu anahitaji ushauri,
Huyu bwana amemaliza kidato cha sita 10 years,PCB ila hakubahatika kuendelea na elimu formally ingawa informally amesoma vitu vingine has kenye field...
Nilikuwa naangalia matokeo ya form 4, nimeshangazwa na wingi wa shule za sekandari mkoani kilimanjaro. mkoa una watu 1.6m una sekondari za o-level 279!
Dar ya makonda ina watu 5m na shule za...
Elimu bure haizihusu shule za serikali zinazofundisha kwa kiingereza. Hata shule hizi zimeachwa ziendeshwe kiholela. Ada na michango kwenye hizi shule havina mpangilio.
Kwanini serikali isiweke...
Habari. Kama kuna mwandishi wa vitabu vya kiingereza vya hadithi za watoto au mwandishi wa vitabu vya kiingereza vya mila na desturi ya makabila ya Tanzania au mwandishi wa vitabu vya kiingereza...
Nina mtoto wa kaka yangu amemaliza form four anataka asomee awe nurse wa hospitali. Naomben mnitajie list ya vyuo na mahala vilipo ndani au nje ya Dar es salaam
Wakuu nilitegemea kuuona mkoa wa Dar kwenye kumi bora ya mikoa iliyofanya vizuri kwenye mitihani ya kidato cha nne hasa sifa ninazozisikia za mkuu wao wa mkoa almaarufu kama bashite kuwa ameanza...
Kama wewe umewahi kukumbwa na tatizo hili,bila shaka utakuwa unanielewa,lakn pia yawezekana umewahi kusikia au kuona kwa wengine,,kuna masomo mahususi ambayo ukifeli,hata kama ulikuwa na Division...
Taifa lisilo na wasomi ni taifa mfu!
Nawashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuangalia uwezekano wa kukopa pesa benki ili waweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wanaostahili ikiwa pesa walizo...
Habari zenu wakuu
Naomba kujuzwa namna ya kuomba nafasi na muda wa usajili kwenye vyuo vya kilimo na mifugo MATI)
Mdogo wenu anataka kwenda kusoma huko
Naomba kuwasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.