Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu habari za saiz,polen na majukumu Kama kichwa kilivyojieleza me ni nurse ngazi ya certificate ila ninataka kubadili nisome diploma ya clinical officer.. Matokeo yangu ya kidato cha nne...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Plz naomba msaada, Nani anafanya uteuzi wa Mwalimu mkuu (Primary level) na Mkuu wa Shule (Secondary Level) kwa shule za serikali. Plz naomba msaada wenu wakuu!
1 Reactions
17 Replies
11K Views
Husika na kichwa cha habari naombeni msada jamani kama kuna mtu ana no ya mwl yeyote wa mashujaa namtafuta mwalimu luoga
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu.... Naombeni msaada kwenye hili swali. Najua humu kuna wajuvi wa haya mambo. Nimekwama wakuu... cc Eiyer Kiranga HARUFU Habibu B. Anga
1 Reactions
1 Replies
961 Views
Wana JF habar zenu. Kwa umuhimu wa hii certification ilivyo na uzito wake pia, hakuna budi tukutane hapa kupeana mawazo, njia, mikakati, ili ambao wamedhamiria kusoma na ku-certify waweze. Mwaga...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Wadau natumai mnaliendeleza vema gurudumu la elimu. Naomba kwa aliye na mtaala (syllabus) ya somo la dini kwa shule za sekondari anisaidie. Nimejaribu kutafuta kwenye taasisi ya elimu bila...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hello guys Kwa wale mliopitia majengo mnafahamu wastani wa pale ni 41% ili kuendelea na kidato lakini kuufikisha si kazi rahisi, na wanafunzi wanaopata wastani wa 81% kwa masomo yote hawalipi ada...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu JF Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anasoma uganda sasa alikuwa anaulizia kuhusu swala la uhamisho aje bongo na hii ni kutokana na wazazi wake kupata matatizo akiwa mwaka wa 3 mwanzoni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bwana mmoja alikwenda kutembea ukweni kwake. Alipokelewa kwa upendo baada ya chakula cha usiku alipewa chumba cha kulala. Ilipofika usiku wa manane alitoka kwenda kujisaidia. Taa zimezimwa na...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimepta C hist, C kisw, C eng na D geo mwaka huu. Mwakajn nimepata C kisw, C din, D geo, D hist na D geo Je? Nawez kwend advance
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Nina A ya Biology, B ya chemia na C ya Physics nimependa kwenda chuo na sio advance lakini sijajua vyuo gan vizur ambavyo naweza kuapply naomben mnisaidie jaman
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu . Naomba msaada wenu nataka kujua haya makato yao ya mkopo w elimu ya juu. Hiyo 15 percent yao wanayoitaka. Je unatakiwa uikate katika net ya mshahara wako unaopokea? ..au...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wazima. Kati ya kozi tajwa hapo juu kwa level ya cheti ipi ina fursa za kujiajiri na kuajiriwa pia kutokana na maendeleo ya kiteknolojia?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS S2764 NYEBURU SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0; DIV-II = 1; DIV-III = 1; DIV-IV = 61; DIV-0 = 129 Bado wazazi wanawaweka watoto hapo? Ndipo unapoona kuwa watanzania ni...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Wana JF, Nimeangalia matokeo ya kidato cha nne na kujiridhisha kuwa elimu inashuka vibaya. Watoto waliopata daraja la nne na sufuri ni 70% (Mtanzania la leo-69.85%). Kwa kuangalia ufaulu wa...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Hivi ni kwa nini mwanafunzi mwenye ufahulu wa pass 4 yaani DDDD,ana option ya kwenda chuo,lakin mwenye ufahulu wa Credit 3 yaani CCC ambazo zimebalance comb ana kibali cha kwenda advance ila...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu habarini za saizi? Hii inawahusu wale waliomaliza kidato cha nne mwaka jana, wakati tumemaliza mitihani kuna barua tulisomewa toka necta tukaambiwa kuwa matokeo yakitoka unaweza ingia kwenye...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari, kuna dogo kamaliza Form four mwaka jana na matokeo yake ni haya M 26 IV CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' LIT ENG - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F sasa dogo anataka chuo...
0 Reactions
2 Replies
758 Views
BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MATOKEO YA MITIHANI YA UHASIBU ILIYOFANYIKA NOVEMBA 2017 NA TARATIBU ZA MITIHANI YA FEBRUARI 2018 NA MEI 2018 Bodi ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hello Napenda kuwa rubani naomba kufahamu namna ya kupata scholarship
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom