Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
MUHIMU SANA Digital Loan Disbursement Solution Habari za leo wadau? Tunakaribia kuanza kuwalipa wanafunzi wanufaika wa mikopo mkupuo(quarter) ya tatu kwa mfumo wa haraka wa HESLB-CRDB...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari wakuu. Naomba kufahamishwa juu ya elimu ya QT inavyotolewa. Mfano... Jinsi ya kujiunga. Mahali inapotolewa. Vigezo vya kujiunga na hiyo elimu. Inatolewa kwa muda gani. Mtaala unatumika. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wana JF habari yenu humu.. Nilikuwa nataka kuuliza swala moja hasa kwa wale waliowahi kupitia au kuhama chuo kimoja kwenda kingine. Ni namna gani unaweza kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Raisi Jakaya Kikwete amesisitiza nia ya Serikali kutumia wahitimu wake wa vyuo vikuu, kufundisha shule za msingi huku akiwaweka sawa kwa kuwaambia kufanya hivyo si kuwashushia hadhi. Hatua hiyo...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Mimi Ni Kijana Niliefanya Mtihani Na Kupata Alama Zisizo Ridhisha Je Naweza Jua Ni Sifa Gani Zinazo Weza Kunipatia Nafasi Ya Kujiunga Na Chuo Cha Uandishi Wa Habari? Ngazi ya Cheti/certificate uwe...
0 Reactions
29 Replies
44K Views
Samahani wana jamvi mwenye kujua tasisi au shirika linalotoa udhamini wa masomo ya chuo nje ya nchi anisaidie kuna mtoto wa Dada yangu amemaliza iv anahitaji kusoma sayansi samahani kwa usumbufu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TUTAFUTE SULUHU YA KUDUMU KWA TATIZO LA WAALIMU NCHINI. Kashasha #Hadi kufikia mwaka 2014 tulikuwa na shule za msingi Tanzania 16,343.Shule hizi kwa pamoja zilikuwa na idadi ya wanafunzi zaidi...
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Baada ya kukaa sana hapa nchini katika kupigana na kusoma nimeona bora nibadili muelekeo wa kusoma kwa kutafuta fursa za kimasomo nje ya nchi kwa kupata udhamini katika masomo hayo, kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Kwanza ningependa kuwapa pole kwa shughuli mbalimbali mnazofanya. Leo napenda kushare nanyi katika uzi huu kwa wale wenye uelewa Kuhusu fani ya IT. ningependa kujua ya kua ili uweza kufanikiwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu na wa Tz wote kwa ujumla.Nianze kwa kusema nirahisi kufurahi kuanda shamba kwa kuchoma moto kuliko faida inayopatikana baada ya moto huo kwani mawili yanaweza yatokee kama...
1 Reactions
2 Replies
843 Views
Kwako ipi ni njia sahihi baada ya kupita form four,? Na ipi ni upotezaji wa muda..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Siwaoni wakibadilika kuwa watu, kama wanavodaiwa kufanya nyani waliotangulia kuishi...au ndo wamesahau utaratibu.....[emoji1] [emoji1] [emoji1] .....Kuna mtu katulisha makande hapa...shikamoo Mr...
5 Reactions
82 Replies
10K Views
Habari, mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka 2015, kiukweli matokeo yangu hayaridhishi, nilikuwa nataka nikarudie mtihani mwaka huu ili nisafishe cheti, je naruhusiwa? Pia...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwanzoni nilijiuliza hili swali mwenyewe nikakosa jibu......Najaribu kufikiria tu haitaki kuingia akilini kabisa serikali ndiyo imeishiwa mbinu za namna ya kudhibiti huu upungufu wa waalimu?!!! Au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wanandinga wenzangu naombeni msaada wa "past papers" za masomo yote, za shule mbalimbali iwe za kata mpaka International zikipatikana. Nina shida ndg yenu ya kuwasaidia wadogo na watoto wetu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naombeni mnisaidie vyuo vya kilimo na mifugo jinsi ya kuapply,na kama vipo vya private karo zao nishilingi ngapi? Naombeni msahada kwa hilo wakuu.
0 Reactions
10 Replies
17K Views
Asallam alykum,, kiukwel me kidogo napata shidaa kweny comb yangu hasa kwenyee chemistry, Nahadi sas imebaki miez michache tukutane namtihani wataifa naomben ushauri wenu wanandugu nitumie mbinu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana jamvi naomba kujifunza mgawanyanyo wa majukumu kati ya mmiliki wa shule ,bodi ya shule Mimi ninavojua shule na mwenye shule ni vitu viliwili yaani shule inasimamiwa na body ya shule lkn...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
[emoji15]
0 Reactions
2 Replies
718 Views
Back
Top Bottom