Mh.Waziri wa elimu kwa heshima kubwa tunakuomba ukitembelee chuo cha Mwl.Nyerere kuna matatizo makubwa ya upatikanaji wa huduma kutoka kwa Afisa Mikopo aliyeyopo.
Afisa huyu amekuwa msumbufu...
Kipindi cha nyuma kidato cha pili wanafunzi walikuwa wanapimwa kwa wastani wa masomo yote anayosoma nakumbuka kwa miaka niliyokuwa nasoma wastani wa kufaulu kwenda kidato cha tatu ulikuwa 30...
Habari ya mchana wakuu. Bila kupoteza Muda Naomba niende moja kwa moja Kwenye hoja, mimi Naomba kusaidiwa link ya kupata video mbalimbali za masomo kama vile video ya kitabu cha Ngoswe, kilio...
TCU na vyuo vikuu nchini bado havijaweka sifa ya kumaliza Law school of Tz au kuwa wakili kuwa moja ya sifa ya kufundisha SHERIA/LAW ktk vyuo vikuu. Sheria ni tofauti na fani nyingine. Sheria ni...
Habari zenu wakuu. Naomba ushauri wenu. Mim nilichaguliwa kujiunga na chuo huko mwanza. University. Lakin nilipofika huko sikujihusisha na masuala ya chuo. Niliamua kukusanya fedha zote...
hii ni thread special kwa ajili ya wanafunzi wa mzumbe kujuana na kujadili mambo tofauti,pia vyuo vingine mnakaribishwa.kwanza kabisa chuo kitafunguliwa tarehe 14.10,mwenye mengine endelea
Kama mlivyosikia kutoka vyombo vya habari hivi karibuni kwa kuibuliwa ubadhirifu katika mkataba kati ya chuo UDSM na kampuni ya uwekezaji ya mlimani holding ambayo inasemekana mnamo mwaka 2003...
Wakuu,shule za primary ni dhahiri zina uhaba mkubwa mno wa waalimu kuliko hata secondary, cha ajabu serikali imechelewesha kupeleka waalimu kataka shule hizo mathalani unakuta shule ina wanafunz...
Salaam, naomba ushauri, Nina ndoto za kuwa engineer lakini advance yangu haikuwa nzuri kuniwezesha kusoma degree, nilisoma pcm, naomba ushauri wa njia bora ya kutimiza malengo hayo. Asante
Salamu sana wana bodi.
Ninaleta huu uzi Kwa masikitiko makubwa. Vijana wamehitimu degree yao Chuo cha usafirishaji cha taifa tokea mwaka jana mwezi wa nane.
Kipindi chote hiki kimekuwa ni...
Mpaka sasa walimu wanafundisha kwa kutumia vitabu vya zamani katika mtaala mpya. Sijajua kama hili ndalichako analijua au ameamua kukaa kimya wakati wahanga wa mtaala huu wanafundishwa kwa vitabu...
Wakati serikali ya Tanzania ikitekeleza sera ya elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, serikali ya Morocco inakusudia kupeleka mswada wa sheria bungeni ili kufikia tamati ya kutoa elimu...
Habari.
Najua wote tunavijua vioo kwa kuviona na kuvishika na kufika mbali zaidi kuvitumia. Baadhi yetu tulishawahi kujiuliza hivi kioo ni nini? wengine tukadiriki kusema labda huwa vinachimbwa...
Habari wakuu
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale wengine wazazi wetu ila nawapa Heko/hongera kwa kuhakikisha vijana wenzangu wanarudi mashuleni kuendelea na masomo yao.
Naomba nirudi kwenye...
How silent (non -verbal) language or hidden language affects International business transaction?
Kama kuna kitabu kinachoweza nipa muongozo wa kufikia ninachokitaka ktk swari hilo naomba link
Habari zenu natumai mko salama.....
Ninaomba kwenda kwenye lengo la Uzi huu
Mimi ni kijana yatima (wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo) kutokea mkoa wa Mwanza, kwasasa ninasoma chuo kikuu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.