Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Msaada wadau nataka kwenda field ya automobile naombeni ushauri mahali pa kupeleka
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Mimi Mzazi nikikosa hela ya kununulia sare za shule na nimeambiwa nimpeleke hivyo hivyo akiwa hana sare,sasa katika hili inamaana sare zimeshafutwa???naombeni mnisaidie kama kuna mtu anajua.
0 Reactions
5 Replies
846 Views
Nadahani kila mtu mpaka sasa anajua ya kwamba hawa nbaa hawajatoa matokeo, sasa cha ajabu leo wameweka tangazo eti tuwe na subira ya kusubiria matokeo na mbaya zaidi mitihani ijayo ipo kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama wewe ni mwalimu wa somo hili pendwa,karibu katika group ukutane na wenzi wako. CHEMISTRY TEACHERZ TZ2
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Njoo kigoma uvinza nije kigoma wilaya yoyote 0762888655 idara msingi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
maelufu ya shule za serikali na makumi ya seminary za kiislam ni mitambo maalumu ya kufyatua div 0 na 4.
7 Reactions
133 Replies
16K Views
Habarini humu ndani na heri ya mwaka mpya. Ni muda sana sijazurula humu JF, moja kwa moja niende kwenye mada husika. Iko hivi nimepata taarifa kuwa elimu ya msingi imekuwa ni miaka 6 kuanzia...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Jamani wanajf,naamini wenyeji wa mwanza mpo na ndiyo mtakaonipa msaada wa dhati.Kuna mdogo wangu kafeli kidato cha nne,sasa nimepewa jukumu la kumtafutia shule ya kiislamu,O level na iwe Mwanza na...
0 Reactions
25 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu, natumai wote ni wazima, na wale wenye matatizo ya kiafya ama mengine mungu atawaponya!! Lengo langu la kuandika uzi huu ni kutafuta mtu ambae nitafanya nae kazi katika tuition...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni zile shule za sekondari hasa za serikali za zamani, miaka 1990 kurudi nyuma kwenye 80s na 70s. Shule kama Azania, Tambaza, Ilboru, Tabora Boys and Girls, Weruweru, Umbwe, Moshi Sec(Old...
21 Reactions
151 Replies
23K Views
Kwa walimu wa shule za msingi zinazotoa huduma kwa lugha ya kiingereza na shule za sekondari. Tunatoa maazimio ya kazi kwa masomo yote. Ni maazimi (schemes of work) zilizoandaliwa tayari, wewe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ewe Prof Moyo, unaendeshaje chuo bila kuwa na Prospectus 2017/2018? Mwongozo wa academic affairs ni upi? Where do you derive your academic mandate/MWONGOZO? Almanac 2017/2018 iko wapi? Mwanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Walimu wa masomo ya sekondary+msingi mnahitajika kwa haraka saaana kwa ajili ya kupat ajira ya kudumu. Kwa sekondari masomo yote,advance,pia chuo kikuu. Masomo haya wewe kma mwalimu utayafundisha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanabody, Km heading ilivyotangulia baadhi ya shule za awali maaruf kwa jina la nursery zimekua zikifanya ulaghai kwa watoto na wazazi na sina uhakika km anaepanga tatizo ni mmiliki wa...
0 Reactions
3 Replies
917 Views
Wanajamii naombeni msaada wenu nifanyenini ili nifanye vizuri katika mtihani wangu wa kidato cha sita niko kombi ya PCB na apa. Kichwani sina kitu saa nifanye nini ili nipate ata division three
1 Reactions
16 Replies
11K Views
Karibuni sana idar a Secondary .. 0754-940094
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu hivi kunachuo cha kilimo tanzania au nje ya tanzania naweza kusoma online?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwalimu idara msingi anatafuta wakubadilishana kutoka mikoa ya pwani, dareslamu morogoro,tanga,Kilimanjaro,iringa,arusha,mbeya,Dodoma yy aje mtwara tandahimba mawasiliano 0657916064
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Anaejua mafunzo ya ADDO mkoani mbeya yanatolewa katika vituo gani na gharama zake naomba anisaidie.
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom