Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
We kijana mbona unasumbua sana watoto wa watu, sasa hivi umewafelisha makusudi. Mbona huna utu roho mbaya imekujaa, unadhani wazazi wanapata wapi ada za mchezo? Badilika. Huyu mwalimu ni wa chuo...
8 Reactions
203 Replies
26K Views
habari ......!! Husika kichwa cha habari hapo juu kwa anayejua atufahamishe.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Naomba Msaada wa kupata namba za simu za utawala za Alfa Gems
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama unafam mambo haya naomba unijize. Hivi inawezekana kijana raia wa Kenya anaesoma shule ya serekali nchini Kenya kupata uhamisho na kuja kusoma shule ya serekali hapa Yanzania? Kama mdivyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna kuchanganya mambo elimu bure mwisho ni Form Four Media zisisahau hiki kipengele wazaz wana raha kutolipia lakn wasisahau sheria na matamko. Wapitie daftari na mazoezi ya watoto wetu...
0 Reactions
3 Replies
756 Views
What are differences between critical thinking and creative thinking?
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Naombeni msaada kufahamu chuo cha uhudumu wa ndege hapa Tanzania na namna ya kupata website yao.
1 Reactions
6 Replies
9K Views
Habari bandugu ? I hope mko poa kabisa na mnaendelea na majukumu yenu km kawaida, anyway nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye hii issue ambayo mpk sasa inaniumiza kichwa sababu nimekuwa...
0 Reactions
4 Replies
960 Views
Habari za jioni wana JF. Poleni sana na pilika pilika za kutwa nzima za kutafuta riziki. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba kwa yeyote anayejua chuo cha Kiislamu jijini Dar es Salaam...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji huyo mtu...... Ni PM kama hutojali Asante
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Kutokana na kukosekana na forum ya wanachuo pekee. Nmefungua thread hii ili kushare na kushirikiana kwenye mambo tofauti. Thread hii utakuwa sehemu ya kushare college books...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamii wenzangu hapa JF, napenda kuelewa zaidi kuhusu mtu aliye reseat kidato cha nne na akafanikiwa kupata ufaulu unaomuwezesha kusoma A-level akimaliza. Endapo akimaliza A-level akafanikisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wanajf mimi ni mwanafunzi wa 1st year bachelor of economic and finance nataka kufanya CPA kuanzia mwezi5 ili nijiongezee thamani naombeni ushauri wenu
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Ni marufuku shule kukaririsha, kuhamisha au kufukuza wanafunzi wanaofeli” – Wizara ya Elimu January 12, 2018 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo January 12, 2018 imetoa agizo kwa shule...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Heshima kwenu wanajamvi. Napenda kushare hili na walimu wote wa masomo ya science na engineering, Kuna watu wameamua kukaa chini na kuona ni vyema Kuwa na Chama ambacho kwa umoja, ubunifu na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamemtuhumu Rais wa serikali yao, kwa kukiuka katiba na kutumia nafasi yake kufanya mambo ya hovyo badala ya kutetea maslahi ya wasomi hao ikiwamo...
5 Reactions
26 Replies
7K Views
Shule za Msingi na Sekondari zinaweza kuwa elimu ya gharama kubwa katika baadhi ya nchi hapa chini, ni baadhi ya Shule zilozopo Tanzania ambazo hutoza gharama kubwa za ada kwa mwaka ikiwa ni ya...
0 Reactions
9 Replies
31K Views
Kituo cha Jenga Uwezo kilichopo manispaa ya wilaya ya Missenyi kinatoa mafunzo Bora kabisa ya awali kwa watoto miaka 2_6 (day care) Na walimu wapo wakutosha Na twisheni kwa Sekondari Na primary...
0 Reactions
4 Replies
992 Views
Back
Top Bottom