Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wana Jf naomba Kwa wanao ifahamu hii kozi ya fitter mechanics inayotolewa veta ni kozi inayo husu kusoma vitu gan ki undanii zaidii na pia ajira ya hii kozii inapatikana kwenye shughuli...
1 Reactions
12 Replies
19K Views
Wadau kwa mtu anayeijua center nzuri kwa ajali ya review ya masomo ya uhasibu cpa kwa mkoa wa Mwanza tafadhali naomba anifahamishe ... mahali ilipo pamoja na fee intermediate kwa somo itapendeza...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Matokeo ya CPA kawaida huwa yanatoka kabla ya xmas ambapo January inapoanza watu wanakuwa wanaanza maandilizi ya kusoma kwa ajili ya masomo yajayo ila awamu hii imekuwa tofauti mpaka sasa matokeo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Anaye fahamu namna ya kupata - materials ya sekondari kwenye mtandao wa internet kupitia website anisaidie.
0 Reactions
10 Replies
25K Views
Wakuu kama mnavyoona headline kuna anayefahamu tofauti ya module na semester kwa kozi za masters pale UDSM hasa za evening na je inachukua wiki ngapi kukamilisha module moja?? Ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Andika namba tukuweke kwenye group la WhatsApp la kujadili topics za biology, chemistry na physics Mjadala ni Kwa lugha ya kingereza tu,uwe unataka kuwa fluent kwenye masomo hayo
1 Reactions
23 Replies
9K Views
Nimesikia watu kadhaa wakiita MBA ya Mzumbe University Maharage ya Mbeya wana JF hii maana yake ni nini?
0 Reactions
223 Replies
37K Views
Nimejaribu kufanya application kwa ngazi ya Diploma ila wanataka niapload cheti cha form four na ninayemfanyia hana maana kamaliza mwaka 2016. Nahitaji msaada kwa aliyefanikiwa kufanya application...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Msaada ndugu nataka kufahamu shule za private ambazo zinafanya vizuri kwa kidato cha nne ila ziwe katika mikoa ya Mwanza na Shinyanga ada isizidi 1,500,000/=
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Mwenye matokeo ya formsix mock 2017 kilimanjaro region anisaidie please centre no S.0253
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kilivyo, naomba kama kuna mtu mzoefu na anamudu vilivyo kuwafundisha watoto lugha ya kiingereza na masomo mengine ya shule ya awali bas ani PM tuongee utaratibu wa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Naona yapo katika div. na watoto wengine wameandikiwa referred, je div I had IV ndo wanaruhusiwa kujiunga na kidato cha 3? Na hawa walioandikiwa referred ndo wakurudia?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nauliza tena je Kimantiki ( logically ) kabisa Tanzania ina Wasomi au ina Watu tu waliohudhuria Shule? Na mkinijibu hili swali langu tafadhalini nitaomba pia mnipe tofauti ili Kuntu kabisa na...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda, kwa ambao wamesoma CPA (uhasibu). Naomba materials na past papers za foundation stage...nahitaji kununua...no 0658327429 DSM Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Wandugu Ni matumaini yangu mu wazima. Ni jana tarehe 08/01/2018, baraza la mitihani la taifa lilitangaza matokeo ya upimaji ya kidato cha pili na darasa la nne. Mimi pia nikiwa ni mdau wa...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Wadau Kitu gani kinakuwa kikwazo kwa website ya NECTA inagoma kufunguka zaidi ya saa 30 toka matokeo yatangazwe au ndo teknolojia duni ya wataalamu wetu. Inashangaza sana matokeo yanatangazwa...
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Wakuu habari napenda kuuliza Mtanzania wa kwanza kupata PhD na katika chuo gani? Si vibaya kama wakitajwa hata 10 katika mpangilio. Note: Lengo langu ni kufahamu wazalendo hao; nikiamini kwamba...
0 Reactions
95 Replies
37K Views
Jina langu naitwa Baraka clemence kwa sasa Niko mpanda nilikuwa naomba msaada hata wa mawazo kifupi mwaka 2014 nilimaliza form six nikajiunga na chuo kikuu udsm Bsc.in mechanical engineering mwaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sio kawaida yao kuchelewesha matokeo kwa kipindi kirefu kama hiki na hawajatoa taarifa yoyote wala kuomba radhi. Wanasababisha wahusika kufungua ukurasa wao mara sita kwa siku. Nawashauri waeleze...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nina mdogo wangu wa kiume, amemaliza form 4 2016, kwa bahati mbaya matokeo yake hayakuwa mazuri na yanatia aibu sana(D tatu na C moja). Sasa dogo kazunguka na maisha ya mtaani kwa mwaka na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom