Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Heshima mbele, Kama mnavyojua saizi ndio muda wa watoto kwenda shule, napenda kujua shule nzuri english medium maeneo ya Ubungo, Mabibo, Sinza au Kijitonyama. Shule nzuri na karo yake pia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Sasa shule zinafunguliwa wazazi tunawaandalia vitabu gani wakati matokeo bado? Mbona hii wizara inarudi nyuma jamani? Prof. Ndalichako unafanya kipi sasa?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Huwa najiuliza sana bila kupata majibu kwa nini hili darasa limekuwa likipitia changamoto nyingi sana. Wengi wao ni vijana walizaliwa kati ya mwaka 1988-1993 ambao walianza shule ya msingi yaani...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama ambavyo nimeuliza hapo juu nina uhitaji mkubwa wa kitabu hiki. Nilikisoma juu juu tu nilipo shule lakini sasa naona kuna haja ya kukirudia tena na tena nahisi huyu mwandishi aliandika hiki...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa JF TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA USAJILI WA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA WA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT) 2018 Kila mtahiniwa anatakiwa kufanya 'registration'...
2 Reactions
11 Replies
11K Views
Kiukweli serikali iwe inapita Mashuleni kufanya ukaguzi wa vitu mbalimbali Kama vile uwepo wa vitabu na miundombinu kutokana na mazingira ya shule nyingi kutovutia Kwa wanafunzi kujisomea na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Amani kwenu wanafikra, kumekuwa na mkanganyiko mkubwa(kutofautiana) katika uandishi wa azimio la kazi hasa kwenye kipengele cha ASSESSMENT/UPIMAJI ambapo kuna wengine wanaandika kwa mtindo wa...
1 Reactions
66 Replies
27K Views
Habari zenu wanajamvi. nina binti yangu , anatakiwa kuingia form four mwaka huu anasoma day ila nataka kumhamishia boargding. hata kama ikibidi arudie form three sio mbaya. naomba msaada wa shule...
0 Reactions
51 Replies
12K Views
Wakuu nilitegemea chuo kama DIT wawe bize hata kujaribu kutengeneza baadhi ya software au basi wawe bise kudiscus vumbuzi mbali mbali. Au basi wawe bize kufuatilia Teknolojia za wenzao huko...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Kupitia Shirika la Friends of East Africa Chieldhood Development Care and Education Tz, kwa ushirikiano na Omep world www.worldomep.org/ Wanapenda kuwakaribisha wadau wote wa Elimu kwa kuanzia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hebu jukwaa pendwa la wadau wa education tushare uzoefu wa matokeo ya mock maana nimetumiwa matokeo ya mock siyo poa yaani huku kwetu Pwani nimepata shock kidogo maana mitihani ya kawaida but...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
NA: ERNEST BONIFACE MAKULILO (MAKULILO, JR.) CALIFORNIA, USA Makala nne zilizopita zimekuwa zikichambua hatua za kupata udhamini ughaibuni. Hatua hizi ni nyingi, na makala ya leo inaendelea...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuuu anaejua taasisi zinazotoa mkopo tofauti na serikali tujuzane na taratibu za kuomba
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Samahani wandugu kwa usunbufu Nataka postpon chuo, then nipage kaz ka 3 yrs, then nije niombe transfer Niko first year, hlf ni loan benefishary, nisomee huko ntakapokuwa vip itaeezekana?? Na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msada wa kutaka kusoma vitu vilipita au diskasiwa muda mrefu nikitaka kuvisoma tena leo napata tabu kupalaza simu kutafuta vitu vya nyuma sivioni. Hivi huku hakupo kama google kama...
0 Reactions
3 Replies
797 Views
Jamani kwa anaefahamu kuhusu kozi ya chemical and industrial engineering kama mtu was PCB anaweza somea na vigezo vyake , please anisaidia . thanks
0 Reactions
58 Replies
13K Views
Wadau naomba kama kuna mtu ana past papers za English 1 na 2 pamoja na Kiswahili 1 na 2 anisaidie. Nataka zilizo kwa soft copy, ukiweza nitumie kwa email sengojupendosengo@yahoo.com Nature ya...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari zenu wana jukwaa la elimu. Ningependa kufahamishwa ni course gani za muda mfupi ambazo mtu anaweza kusoma maybe kipindi akisubiri kujiunga rasmi na chuo?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za jioni wana JF!? "Habari za uzima wapendwa. kwa wenye watoto waliomaliza la saba ikiwa mwanao amechaguliwa public school na hatoenda unalazimika kupeleka shule aliyochaguliwa barua...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom