Najua kuna chuo cha kidiplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam lakini ningependa kujua kama kuna chuo kama hiko(kinachotoa kozi hizo) mkoani hapa.
Natanguliza Shukrani.
FACT KUHUSU ZEBRA
1. Punguza mwendo unapoikaribia zebra ili angalau uwe katika mwendo wa uwezekano wa kusimama ikiwa kuna mtu atakuwa anavuka barabara au kutaka kuvuka barabara. Kisayansi mwendo...
Heri ya mwaka mpya wanajamvi.
Nahitaji msaada wa kisheria na kielimu ili niweze kufikia ndoto zangu.
Mimi ni mwanafunzi wa kitivo cha elimu chuo kikuu SAUT Mwanza compus. Nikisoma Bachelor of Arts...
Wadau ,
Naomba kujuzwa shule nzuri ya primary kwa hapa Dar na hasa wilaya ya Kinondoni. Na ninaposema nzuri kwangu namaanisha vitu hivi hapa,
1. Mahali ambapo elimu inayotolewa inampa mtoto...
Salaam sana.wakuu napenda kutoa pongez kwa uongozi wa chuo kikuu ruaha(rucu)cha iringa kwa kuzuia wanawake kuvaa nguo za kiume(suruali)kwa mazingira ya chuo muda wote(usiku na...
Habarini wakuu!!
Naomba kwa nayejua shule nzuri za watoto wa umri wa miaka 4 na kuendelea maeneo ya Tabata mpaka Kinyerezi aniambie na ada zake kama zinajulikana!!
Asanteni saana
Kama kuna mdau anajua utaratibu wa kuapply sholarship kwenda nchi kama ukraine , china , Malaysia au nchi nyingine ambazo ni mshirika mzuri kusaidia elimu ya bongo naomba utupie.
Kuna dogo...
Hebu angalia chuo chako hapa ni ranking inayofanyika na wataalamu, pambane na Hali za vyuo vyenu,
Hizo nyuma siyo Ada, bali ni Ranking hahaha
2098University of Dar Es Salaam
2354Muhimbili...
Habari za muda huu wanajukwaa
Kwenye mwili wa mnyama (mwanadamu) kuna ogani au viungo mbalimbali ambavyo huunda mifumo mbalimbali ya mwili
Utendaji kazi wa mifumo hiyo huzalisha vitu vingivingi...
Kama swali linavyouliza hapo juu, si kawaida kufika Christmas matokeo ya CPA(T) yanakuwaga yashatoka ila kwa msimu huu yamechelewa kidogo.Au kuna uwezekano wa kuyatoa leo?
Wengine ni graduates...
Wahusika wa usajili wa vitambulisho vya utaifa ...sasa najua mko kwenye kanda zenu mkisajili watu lakini kumbukeni kuwa kwenye hizo kanda kuna wakazi hawapo ..watu hawa ni wengi na wako mbali na...
Katika uchunguzi wangu nimegundua uuguzi ni moja ya fani za afya inayodharaulika na hii ilitokana na background history ya fani hii, fani hii mwanzoni ilikuwa watu kutoka darasa la saba na wakati...
Habari zenu watanzania wenzangu na vijana wenzangu.Ninaomba niwapatie ushauri kwenu mliohitimu na kwa wale ambao bado wapo vyuoni.Fanya haya mambo matatu ili kujiongezea thamani kwenye soko la...
Kijana anapenda kusomea ICT mwakani kupitia mkondo wa Certificate na Diploma na baadae Degree. Nimegundua vyuo vinavyotoa ICT ni vingi sana. Vyuo vikuu vingi vina program za aina hiyo kupitia TCU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.