Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu wanajukwaa, Nilifanya mitihani ya CPA May, Nilifanya masomo 6 intermidiate na nikafaulu mawili tu (audit na ethics), Kwa sasa nataka kufanyia mtihani haya manne yaliyobaki na moja la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapenzi habari za mchana? Mnamo 12/06/2017 Mangi nilifanikiwa kununua Bachelor degree on Business administration with Information Technology kutoka SMC University kinachopatikana huko Zug -...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naombeni msaada kwa mwanafunzi yoyote anayesoma kozi ya chemistry au mhitimu wa hiyo kozi tuwasiliane.
0 Reactions
5 Replies
839 Views
Naomba msaada wa pdf za vitabu vya primary na sekondari za Tanzania! std1-form iv
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Tafadhali mwenye syllabus ya Clinical medicine (clinical officers course) aniwekee hapa. Tafadhali sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jf kama kuna mdau mwenye details za kujiunga na shirika la Jesuits naomba anijuze na kielimu mie ni graduate. All the best guys with constructive and destructive criticism.
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Hello, Ni demu fulani anaitwa Cong cong wang hivi kwa sasa yupo shule gani? na kama anasoma bongo, form 6 ya mwaka wao inafanyika lini? ili akishafanya ACSEE, results zake tuzipost humu, coz kuwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar wana jf naombeni nifamishwe mtu akiitimu diploma kwenye fani tajwa anapata fursa fani? Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
531 Views
Za muda huu wakubwa? Naomba msaada wenu,mdogo wangu amefeli masomo hayo kweny mtihani wa kidato cha nne na nia yake ilikuwa ni kuanza kusoma certificate chuo kikuu but masomo yote ya science...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu, bila kupoteza muda, Kwanza niwasalimu na niwape pole na mihangaiko ya siku nzima. Nia ya huu uzi ni kutaka kufahamishwa ni zipi alama za ufaulu kwa kidato cha sita ambazo ni current. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha 4 mwaka 2012 ana D zote na C mbili ya kiswahili na Civics yaani div 4:26 je anaweza kusoma nn kipindi hiki? Masomo ya sayansi Phys, Chem, Bios na Maths yote Ana D
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Naomba kufahamishwa wana Jamvi, ni lipi jina halisi la huyu Muokozi (Mwana wa Kondoo) Kama huna hoja tafadhali, pita mbali na UZI huu..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Niko mwaka wa tatu kozi iliyotajwa hapo juu. Niliichukua kozi hii kwa kukosa mwongozo wa vyuo ninavyoweza kusoma kozi hii ambayo niliipenda tangu nikiwa shule ya msingi. Ninachouliza ni kama...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu naomba kujua utaratibu wa kuhairisha chuo na gharama zake maana nimechaguliwa MIHAYO TABORA ila mkopo nimekosa, hivyo nataka kuhairisha ili mwaka kesho nisiangaike na TCU na mwaka huu...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
kuna taarifa zinasambaa kuwa eti waziri Ndalichako amesema waliokuwa wanufaika wa mikopo kutoka HESLB waanze kulipa kama mkataba ulivyokuwa unasema au wafike loan board kueleza hali zao kiuchumi.
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Hi, The heading above is concerned. I need to learn AutoCAD Civil 3D from scratch, anyone know where I could attain to it please
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Wakuu mwenye kufahamu wapi hapa Tanzania chuo kinachofundisha CCTV , au kama sio chuo ni wapi kwingine sehemu gani wanafundisha hiyo kitu. Itakuwa vizuri kama atatusaidia na gharama za fees na...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
HESLB Kuweni makini na maisha ya watu! kama kuna staff humu yeyote wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu basi kwa heshma na taadhima awe balozi kuufikisha ujumbe huu Naandika haya kwa huzuni kubwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna jamaa amemalza internship ni pharmacist anatafuta ajira kweli amekosa siamini hebu tujuzane kumbe kitaa kigumu kias hiki
0 Reactions
12 Replies
5K Views
♡♡ MS/M.PHIL & PH.d Scholarships♡♡ ☆☆☆☆☆☆ New Update☆☆☆☆☆☆ ● University name :☆ Shaanxi university ☆ March Intake 2018 Master stipend 1000 rmb phd stipend 2000 RMB [emoji317] PH.D...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Back
Top Bottom