Habari wanajamvi..
Naomba kujua kwa chuo cha memorial compus ya Dar-Kigamboni hususan maeneo ya vimbweta na lectures hall, ni mtandao gani wa simu upo imara...
Maana na project ambayo nataka...
Habari za kuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018
Ninaomba ufafanuzi kuhusu kazi zinazowezwa kufanywa na mtu aliesoma Degree ya Science in Health Information Systms, na je kuna chuo kingine...
Habari wanajamvi...
Nauliza apps nzuri ambayo naweza pata notes za somo la physics pasipo kulipia iwe online au offline,notes hizo ziwe za ordinary level na advance level
Habari zenu wapendwa,
Kuna mwalimu wa masomo ya sanaa yuko musoma mjini anatafuta mwalimu wa mwanza mjini wa kubadilishana nae. Mwenye taarifa anicheki inbox itapendeza.
Leo tena mitihani ya veta imevuja. Hivi utamaduni wa kuvuja kwa mitihani hapa Tanzania utakwisha lini? Miaka nenda rudi tatizo lipo pale pale. Hivi wahusika wa mitihani huwa wanawajibishwa? Hawa...
Heshma kwenu wakuu
Kwa kipindi kirefu nimefuataiia sana matokeo ya wanafunzi wetu wa A-level hasa wa combination za PCM, PCB na PGM katika shule zetu za serikali na nimegundu yafuatayo
1. Kuna...
Kampuni ya kibinafsi ya kurusha roketi imetangaza kwamba watalii wawili wamelipa kupelekwa mwezini.
Safari hiyo itafanyika 2018 kulingana na mkurugenzi mkuu wa kampuni ya SpaceX Elon Musk...
Tafadhali mwenye uelewa mpana kuhusiana na Hii health care field... ..katika upande wa fursa zake,sponsorship zake,Uhitaji wa ufaulu ili kuchukua degree take,nnchi za wenzetu zinazofundisha kwa...
Msaada tafadhari nahitaji kufahamu Chuo kinachotoa mafunzo ya Information Technology(IT) kwa ngazi ya cheti.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Habari ndugu...
Kuna mtu kamaliza form4 mwaka 2012,alipata D5 ikiwemo..physcs..Mwaka 2016 aligraduate Kozi ya ICT ngazi ya.certificate G.P.A ya 3.67.,,,,
Mwaka kesho 2018...anatarajia kujiunga...
Binafsi ninaona ndiyo sababu kubwa ya mada nyingi zinakuwa hazina mantiki kabisa!! Sasa ww unamajina yako halisi ni kwann unatumia majina fake?? Watu wangekuwa wanatumia majina halisi...
Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis ndio neno refu kuliko yote katika kamusi ya kiingereza likiwa na herufi arobaini na tano. Maana ya neno hilo ni ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na...
Habari za jioni wadau nina mdogo wangu yupo jitegemee sec. Form five ila anataka kukatisha mwezi wa tatu aende akaanze certificate.
Naomba tumshauri dogo course gani nzuri ambayo itamfaa Dogo...
Hello guys,
Hawa wanafunzi wanaoshika top 10 kitaifa mitihani ya form 4 wapo smart, na baadhi yao (kupitia international school of moshi) hupata full scholarship za kwenda kusoma kwenye...
Elimu ili iweze kuwa na tija na endelevu, lazima watu wapende kujisomea majarida na vitabu mbalimbali muda wote wa maisha yao.
Huduma zetu za Maktaba sio za kuridhisha. Maktaba zetu nyingi...
Dear Readers,
I am one of those who aspire to take a professional course in procurement via Procurement and Supplies Professional and Technicians Board famously known as PSPTB, so i did what...
Wale wanafunzi wa O level na A level nchini Tanzania tukutane hapa tujuane. Muombe ushauri kwa yanayokwaza huko shuleni and let us share our experience mkiwa huko shuleni.
Haya uwanja ni wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.