Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari Nina mtoto(ndugu) anayetarajia kuingia kidato cha tano mwakani 2018. Kama mnavyofahamu sikukuu hizi ukizila vibaya ikifika January huna kitu. Naombeni mnieleze vitabu navyoweza kuvinunua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Niaje wadau husikA na kichwa cha habar hapo juu nimejitolea kufundisha physical geography ili kupata experience .topic Zote kama water mass.climatology, nk.ni free kabisa location ni shule ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale ningependa niende moja kwa moja kwa habari yangu kuhusu changamoto kubwa inayokikabili chuo cha ualimu tarime kilichochopo mkoa wa mara hiki chuo ni...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Musipitwe na hii!
2 Reactions
1 Replies
687 Views
Nauliza naweza kupata Chuo kinachotoa certificate au diploma kwa sasa au mpaka nisubiri mwakani? Nijibuni wapendwa nataka nimpeleke Dogo maana naona kakaa tu. Ana D flat za kidato cha 4
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi punde waziri wa elimu sayansi na teknolojia anarajia kutangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika mwezi wa tano mapema mwaka huu. Chanzo cha habari hii ni www.necta.go.tz...
8 Reactions
934 Replies
180K Views
Wakuu habari za mida... Naombeni kujua ni matukio gani yaliwahi tokea shule ya eckernforde Maana Nina wadogo zangu mapacha wa kike nataka kuwapeleka pale wakaanze O-level lakin Kuna jamaa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Serikali Leo Imetangaza Ajira za Walimu Tarehe ya Kuripoti ni Tarehe 27 Disemba 2017 hadi Tarehe 17 Januari 2018. kazi kwenu BOFYA HAPA>>TAARIFA KWA UMMA BOFYA HAPA>>WALIMU SHULE ZA MSINGI...
1 Reactions
67 Replies
25K Views
Habari zenu great thinkers! Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza Mwaka wa masomo 2017/2018. Wiki mbili zilizopita tuliopata mkopo batch ya pili tuliambiwa tukasign ili tuweze kupewa fedha...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
A.alaykum wakuu, Leo hii nimepata taarifa zilizonshtua kutoka kwa mtoto wa jirani yangu mmoja aliyehitimu darasa la saba na kufaulu kwa kiwango cha 'C'..Taarifa hii ni kwamba yeye na wahitimu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
naomba kuuliza -Mtu asiyejua hesabu anaweza kusoma course ya international business management (in Kenya au Tz) -Je ni course gani inamfaa mtu asiyeweza hesabu na kidogo kuna uwezekano wa ajira...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wana jamvi Samahani ningependa kuvijua vyuo vya afya vya serikali, plz kama umesoma ama umewahi kukisikia chochote naomba nitajie katika huu huzi kisha nivichuje. Je mtoto wa form IV...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habar za leo wanabodi, Straightforward to the topic; Mimi ni mwajiriwa serikalini na ni mwalimu kiongozi (Mwalimu Mkuu) ktk shule fulani, kubwa lililonifanya kuja kuomba ushauri hapa ni kwamba...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Naomba usaidizi wa ku construct Research topic using the above Broad area. Tukumbuke SMART model yunapoconstruct hizo titles. Ahsante
0 Reactions
2 Replies
702 Views
Nahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Helo jf i need to know the current syllabus for secondary school(o-level) any one who knows which one is in use,help me, i want to buy for my young brothers as most students do not know what they...
0 Reactions
22 Replies
31K Views
Mimi nilirudia mwaka 2011 nikapata c moja nikaja kurudia 2012 c moja 2015 c moja je nawez kwenda five naomba msaada kwa wanaofahamu ili
2 Reactions
68 Replies
12K Views
wakuu mambo vipi ? husika na title hapo juu kuna mdogo wangu anahitaji kusoma hiyo course lakini ameshindwa kupata chuo kinachotoa hiyo course kwaio anahitaji msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Hivi karibuni nilisafiri kwa basi toka Dar mpaka KAMPALA kibiashara, nikiwa mpakani NAMANGA nilikutana na makundi makubwa ya vijana wa Kitanzania wakivuka mpaka kwenda Kenya na Uganda kwa ajili ya...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
napata wapi kitabu kizuri chochote cha Health system Research???
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom