Shikamooni jamaai
Mi ni mwanafunzi wa kidato cha sita natarajia kumaliza form six next year kama MUNGU akinijalia....tatizo langu ni kwamba mi kwasasa nasoma combination CBG lakini kumekua na...
Tafadhari ndugu zangu, rejea Maelezo hapo juu, Naomba Msaada nitapataje maelekezo muhimu y'a kujiunga Kidato cha kwanza 2018 Tabora boys. Natanguliza shukrani n'a J. Poli njema.
LESSON; RISALA YA MWAKA (SUMMARY OF THE YEAR).
Hatimae leo mwalimu ameamua kurudi tena darasani baada ya likizo ndefu, pole kwako wewe mwanadarasa ambae hali yako...
Ndugu zangu wana JF naombeni msaada natafuta shule ya private ya advance yenye michepuo ya arts kwa mikoa ya Kaskazini kama ARUSHA, KILIMANJARO N. K na ikiwezekana kama unajua na ada zake niekeee...
WESTGATE Girls High School ni Shule ya sekondari ya wasichana ya bweni inatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2016. Westgate Girls High school ipo kibaha...
Nauliza wadau Mwalimu mzuri anayependwa na wanafunzi darasani ni yupi kati hawa wawili
1:ANAYETOA NOTISI KICHWANI NA KUANDIKA UBAONI?
2:ANAYETOA NOTISI DAFTARINI NA KUANDIKA UBAONI?
Body ya mikopo mwaka 2017/1018.ilitoa mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza .Kulingana na mfumo wa uombaji wa nafasi za chuo kwenye vyuo husika...hii imepelekea wanafunzi wengi kupata multiple...
Wakati Niko advance nilichukua masomi ya EGM,hesabu zilikua tatizo sana kwangu hadi kunipelekea kupata F ya hesabu masomo mengine nilipata A yani (economic A,Geography A)
Katika pilika za...
Jamani nasikia majina ya darasa la saba waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwakani 2017 yameshatoka.....
Mwenye link ya hayo majina atupie hapa.
Kama uzi unavyo jieleza hapo juu.
Ni masikitiko yangu (huu sasa ni mwaka wa pili) pamoja wa wazazi wengine.
Kumekuwa/Umeibuka mtindo ama utaratibu kutoka Wizara inayohusika na mambo ya Taaluma...
Naomba kuuliza kwa tuliyopata mkopo kupitia rufaaa , Je kuna mtu anayejua mpaka sasa amepata asilimia ngapi ya mkopo ? , maana mpaka sasa kwenye account hawajaweka break down na chuoni kwetu hapa...
Hello guys
Ingawa wengi wanaponda elimu yetu ya kibongo kuwa ipo theoretical tu, lkn mm naona mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, mitihani ya necta ipo kwenye standard hlf wanasahihisha kwa haki...
Rungwe secondari,sitaisahau maana kwa hali ya hewa,miundombinu na shughuli za ujasiriamali kama,bustan,mabwawa ya samaki,mashamba ya migomba nguruwe na mchakamchaka vilikuwa vinanifanya nijisikie...
Habari za mapumzuko wanajua wa jf?
Naombeni mwenye taarifa kuhusu masters of Business Administration au project management zinazotolewa na Chuo kikuu Huria Tanzania kua zinaanza mwezi wa ngapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.