Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
kwa wale wote 2liosoma bukoba sec,karb 2kumbushane mawil matatu, ya shule ye2 ni vzr ukaweka mwaka ulio maliza pale,karbun
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, poleni na majukumu na mahangaiko ya kila siku ya kujitafutia riziki, Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye nia thabiti ya kupambana na hali ya kiuchumi kwa upande wangu na hata...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba msaada wa namna ya kupata vitabu vya JAMES HARDLEY JAMES. Naomba pia kama kuna link za vitabu vya MUSIBA kama KIKOSI CHA KISASI, NJAMA, DAR-ES-SALAAM USIKU, KIKOMO, n.k
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau habari nilikuwa naomba wanaojua wanielimishe faida na hasara za izo mitaala miwili katika elimu ya awali , msingi na sekondari achilia mbali swala la gharama. Je ni ipi bora kwa mtoto wa leo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau naomba kufahamu hii setting inasaidia nini kwenye simu hasa upande wa internet(pap/chap na ipv4/ipv6).
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello wadau, nafahamu hapa nipo mahali sahihi kabisa. Mimi ni mwl wa geography, nahitaji kama kuna walimu wenzangu humu hasa kwa private schools tusaidiane namna ya kupata papers na kutungiana...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Wadau naombeni Msaada wa kupata Orodha ya wanafunzi Kidato cha Kwanza Mkoa wa Shinyanga-Halmashauri ya Kahama Mjini 2018, nimetafuta sana bila mafanikio.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Benki ya Barclays Tanzania imetoa vyeti kwa wanafunzi 24 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) walioshinda shindano la udhamini wa masomo liitwalo 'balozi mwanafunzi'. Akizungumza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kwa anayefahamu shule hii wadhamini wake na mazingira yaliyo atujuze
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Utafiti wa taasisi ya Twaweza unaeleza serikali inapoteza bilioni 793 kila mwaka za mishahara ya walimu wa shule za msingi ambao hawatimizi majukumu yao ya kufundisha wanafunzi na kuhudhuria...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Hii ni special thread wa ajili ya ex- Udsm students kushare moments mbali mbali tulizokutana nazo katika kipindi chetu cha masomo pale mlimani ziwe happy moments, sad moments etc. Binafsi nilikua...
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Hili swali limenishinda kabisa sijui linataka Explain the key elements of development studies
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu..ningependa kuuliza kama kuna vyuo teali majina ya wale wa misallocation kama yameshashughulikiwa na kutumwa chuoni. Toka bodi waseme majina 590 yashapelekwa vyuoni siku wanatangaza...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Habari wana JF! Katika vyeti vyangu form 4 na 6 pamoja na chuo nimekua nikitumia majina mawili badala ya matatu. Hata hivyo, katika vitambulisho vya utaifa na mpiga kura nimelazimika kuweka jina...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Poleni na pilikapilika za hapa na pale pia niwape pole na kuwapongeza Kwa kuendelea kulijenga taifa letu la tanzania. Suala lililonileta hapa ni kuomba wanazuoni mnisaidie juu ya chevening...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania, John Magufuli ameitaka Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi kuzirejesha serikalini shule za sekondari ambazo imeshindwa kuziendesha ili ziboreshwe na kutoa elimu bora kwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ni graduate wa electrical and electronics engineering kutoka MUST. Sasa nataka kujiendeleza kielimu lakini nimekatishwa tamaa sana.
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Back
Top Bottom