Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu wana jukwaa, Naomba Mdau yeyote mwenye maelezo au uelewa wa hizo Masters programs tajwa hapo juu anipe muongozo zaid zinahusu nini na tofauti yake ikoje? Masters programs zinazotolewa CBE...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
wakuu habari. Naomba kama kuna yeyote anayeweza kunielekeza kwa ras simba au hata namba ya simu please! shukrani wakuu!
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana JF, Kama kichwa kinavojieleza, naomba msaada jinsi ya kuangalia shule walizopangiwa, darasa la saba 2017. Ahsante!
0 Reactions
3 Replies
51K Views
Naona bodi ya mikopo na serikali wanazingua watu mtu ana uhitaji hana wazaz na hana uwezo wa kusoma bila mkopo alafu wanamnyima. Ruhusuni mashirika binafsi yatoe mkopo vijana tunateseka vyuoni
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Imekuwa kawaida kwa kila kitu katika nchi yetu kuingizwa siasa.Hata jambo la proffesional wasomi wameshindwa kulisimamia ktk proffesional yake. nawashukuru wanasheria ambao naona kwa upande wao...
1 Reactions
6 Replies
880 Views
Naandelea na masomo yangu ya chuo kikuu Udsm nikiwa mwaka wa kwanza namshukuru mungu ni mmoja ya wanafunzi wanaofadhiliwa na Loarn Board katika masomo lakini kitu kinachonifanya nisijisikie vizuri...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Heloww guys Nmesoma CBE advance nkatoka na one je ninaweza nkafanya mtihani wa physics advance nkaunganisha hivo vyet viwil nkaenda kusoma afya msaaada please!!!!!!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wanajamii forum, naomba msaada kutoka kwa mwanafunzi yoyote alieomba mkopo mwaka wa masomo 2016/2017 akiwa kama continuous student ani dm. Ninashida ya kutambua kama batch ilitoa, maana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu... Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne 2015 na katika matokeo yangu nimefaulu vizuri na nimebance comb zote za sayansi yaani pcb,pcm,pgm,cbg,egm lakini lengo langu kubwa ni kusoma...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Msaada tutani ukiwa na Math F, Kiswa D, Geo F, Eng D, Civ D, Bio D, Chem D, hist d, Phyc F . Unaweza soma certificate in information technology kwa chuo cha DIT . Ada zao zikoje na wanapokea...
0 Reactions
49 Replies
19K Views
Kuna wanafunzi ambao walitakakiwa kucomfirm majina yao kwa loan board kupita loan officer kwamba ni wanafunzi wa IFM baada ya matokeo kutoka, wameshafanya hivyo mwezi mzima umepita results za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
UDSM garama za kusoma digrii ya pili ya linguistics ni sh ngapi??
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wadau wa jamii forums naombaa kuelekezwa hii kozi ya fitter mechanics inayo tolewa na veta ni kozi inayo husu kitu gani na pia ina soko LA ajira kwa kipindi hiki
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Wanajukwaa habari za wakati huu? Moja ya vigezo vya mtu kufundisha chuo kikuu ni GPA above 3.5 kwa undergraduate. Mimi Nina GPA ya 3.4 kwa undergraduate na GPA ya 4.0 kwa masters. Je nikiendelea...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Hivi ni kwanini kuna utaratibu tofauti kati ya halmashauri moja na nyingne katk utoaji wa hela za kujikimu kwa watumishi (waalimu wa sayansi) walioajiriwa Mwaka huu? Kuna ambao walipewa hzo pesa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wote tuluochaguliwa Doctor of Medicine pale njooni tujuane... Kama unasoma pale so mbaya tukajuana pia..
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Husikeni na somo tajwa! Naomba kujua namna ya kupata sponsorship ya Chuo kikuu Huria cha Tanzania (OUT) ngazi ya Shahada ya Uzamivu katika Elimu. Natamani kufikia lengo hili lakini uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha yenye wanafunzi 2,679 waliopata mikopo yenye thamani ya Sh9.6 bilioni baada ya kukamilika uchambuzi wa rufaa walizowasilisha...
0 Reactions
28 Replies
27K Views
Chuo cha IFM kuna wanafunzi ambao ni wanufaika wa mkopo hawajafanya registration mpaka leo, kila tukifwatilia loan officer anasema majina yanashughulikiwa ni mwezi umepita sasa.... WAHUSIKA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Serikali kuajiri waalimu wa shule za msingi na sekondari Serikali imepanga kuajiri walimu 11,000 wa shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha wa 2017/18. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom