Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa yeyote mwenye kujua namna ya kujiunga vyuo vya kenya naomba anijuze na je kuna intake ya January kwenye vyuo vya Kenya? Kwa level ya degree?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani nilikuwa nahitaji msaada wa kujua chuo cha ufundi Mikumi nilikuwa nahitaji kujiunga hapo mwakani level three kwa fani ya umeme kwa anayejua naomba anipe taarifa wana anzaga mwezi wa ngapi...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Hello guys Kwa wale mliosomaga feza boys au wenye ndugu zenu waliopo feza boys, nasikiaga feza boys wanaonyeshwaga mitihani (sina uhakika). sasa swali langu linakuja hivi 1) Wanafunzi wa feza...
1 Reactions
42 Replies
10K Views
April 15, 2017 lilitokea jambo ambalo wengi hatukulitarajia katika Sekta ya Elimu hasa Elimu ya Vyuo Vikuu. Kuna watu ambao wanaushawishi ama kutokana na sifa zao au kutumia nguvu kulingana na...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa wale waliosoma bss 1974-1977 Mi bado nipo .tusalimiane. Halafu tumkumbuke Mwl mgwadu (Kilimo,)Mwl mtunze (math ),mwl uronu(physics), mwl mazengo(geography) 2nd master halow nikikusingout...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Leo kwenye gazeti la Daily News wamechapisha titles za PhD theses walizoandika watunukiwa 80 wa PhD za UDSM mwaka huu, akiwemo mhe Mwigulu Nchemba. Nyingine nimezitazama nikajiuliza hivi hii ni...
2 Reactions
97 Replies
9K Views
Afisa Elimu msingi ktk wilaya moja anahangaika kumchafua mwalimu wake Kwa kushirikiana na maofisa wa chini yake. Chanzo ni ugomvi wa kimaslahi mwalimu kafungua stationary katika kituo cha kazi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
*CWT hawana uwezo wa kutetea walimu kamwe* *Na commred Chichimizi* CWT.....ni zao la muajiri mfumo wa trade unions Tanzania ulianzia serikalini ndo maana hata kudai uhuru ulishiriki hivyo cwt...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Wadau wa jamii forums naomb kuuliza hivi chuo cha telecom na electronic pia na chuo cha networking kwa ngaz ya chet kwa Dar es salaam vinapatikana sehem gan na masharti ya kujiunga yapoje
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu nipo kigoma Kalenge Secondary nafundisha somo la kiingereza naomba kama kuna mwalimu yupo songea anataka kuja kigoma tuwasiliane kwa namba 0756292041
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Huyu jamaa nimeanza kumsikika mda sana mrefu sana akijitangaza kua ni mwalimu bora wa kiingereza ,huku akijinadi kua usipoelewa utarudishiwa ada yako,sina nia ya kwenda ila kwa waliowah kwenda mje...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
MIKOPO YA WANAFUNZI ELIMU YA JUU Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli imezidi kuonyesha namna inavyowajali Waafunzi wa elimu ya juu kwa kutoa mikopo zaidi kwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi hakuna application au website au blog ambayo inasaidia kusolve maswali? Maana kuna muda tunashindwa kusolve maswali chuoni na solutions hazipo. Msaada plz Ambaye anajua atuambie. Tuwe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa Past papers na Jinsi ya kukabiliana na hii course ..haswa learning material nisaidieni wapi napata learning material na kama uwezekano upo naweza kulipia.niko level4
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Samahanini wana zuoni naomba mnisaidie kujua hv UDSM kuna kozi ya udaktari wa binadamu kama ile inayotolewa muhimbili,kama ipo ,ipo kitivo gani
2 Reactions
42 Replies
9K Views
Jamani tunaomba process za kurudisha mikopo kwenye vyuo husika ifuatiliwe haraka
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inashangaza kuona kuwa heslb walitoa nafasi ya wiki moja tu ya kukata rufaa, lakini wao zinakaribia kumalizikia wiki mbili sasa bado wako kimya kuhusu matokeo ya rufaa za watu. Kama hakuna...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani kama wewe unaweza kuprint kitabu na uko arusha au moshi wasiliana nami kwa inbox
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilikua najaribu kufuatilia tatizo la mikopo ya elimu ya juu mfano kwa vyuo vikuu vilivyoko mkoani Dar es salaam, yaani mtu una uweza kutokwa machozi. Ni idadi kubwa sana ya wanafunzi ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom