Habarini za saivi wakubwa wote wa JF mimi ni kijana niliyefanya usaili wa kusoma mhula wa masomo wa 2018 VETA DSM lengo langu nisome electrical installation lakini sikubahatika kuchaguliwa kwenye...
Jamani kuna mtu kauliza kwenye group la whatsapp kuwa ana mtoto kamaliza kidato cha nne 2016 na hakupangiwa shule alifaulu kwa ufaulu wa three ya 25 masomo ya arts.
Mzee anadai ana laki nane...
Hapa natanguliza tu shukuran kwa atakaenisaidia Kwa huyu ndugu yangu (sio mimi)
Hivi kwa matokeo haya ina maana ndio anarudia mwaka mzima somo moja au inakuaje?? maana haelewi na mimi sielewi...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikisikia neno hili likitumiwa na watu wengi wakiwa kwenye hali tofauti. Wengine hulitumia wakiwa na mawazo sana, wengine wakiwa na hasira, wengine wakiwa na huzuni n.K...
Katika harakati za kutafuta ajira nimepata kazi ya kufundisha English Medium, kwa kuwa siwezi kuongea kingireza nikachagua kufundisha Maths na ICT, sasa bwana ikaja ikafika siku ya kushika zamu za...
Wakuu salamu ziwafikie popote mlipo.
Kijana wenu nina shida sana ya topic ya kiuchumi ambayo data zake zipo tayari ili niifanyie dissertation..
Nataka yenye data kabisa na mahali nitakapo pata...
Habarini wa jamvi,,
kuna haka kamsemo(quote) ambacho kinasema EDUCATION IS A KEY OF LIFE kwa maana elimu ni ufunguo wa maisha.Kwa mantiki ukitaka kuwa na maisha mazuri lazima...
Wadau
Nimeulizwa swali hilo huko mtaa wa saba, hivi mwanao akipata 1/43 katika mtihani kuna haja ya kuendelea kumlipia ada?
Tusaidiane majibu tafadhali sana.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amewataka watendaji wa wizara hiyo kubaini changamoto walizonazo katika idara zao na kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu ili kudhibiti...
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Postgraduate Diploma ya Procurement and Logistics Management, TIA, masomo yameanza rasmi tarehe 20/11/2017...Main hall,,
Kwanza kabisa nawapongeza wahitimu wa vyuo vikuu kwa kumaliza moja ya hatua za muhimu katika safari ya mafanikio, just imagine you have stay at class for 16yrz, 17yrz na wenzetu Madaktari ni 18yrz...
Wanafunzi wote wamefurahia kufukuzwa kazi kwa loan officer huyo aidha amemuagiza akabidhi ofisi ikiwa imekamilika taarifa zote muhimu na kama itatokea amefanya janja janja zozote za kuchanganya na...
Habari za muda huu wakuu.
Mimi nipo mwaka wa pili UDSM naomba kuuliza kama kuna aliewahi kufutwa kwenye mfumo baada ya kuchelewa kulipa ada.
Kusoma chuo bila mkopo ni mateso sana usajili unaisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.