Habarini Wana JF.
Kama Kati Yetu Ni Wafuatiliaji Wazuri Wa Maendeleo Ya Elimu Katika Jamii Ya Ulimwengu, Utaona Thamani Ya Wale Wenye Dhamana Na Taaluma Ya Kuelimisha Jamii (Walimu) Wanavyo Beba...
Kwa yeyote anayejua kuhusu kozi hii ya LABOUR RELATIONS AND PUBLIC MANAGEMENT,ukisoma na kuhitimu kwenye ngazi ya diploma au degree unaweza kuwa kuajiriwa katika sekta ipi au unakuwa na wadhifa...
Msaada wa vyuo ambavyo vinachukua wanafunzi wa diploma na certificate intake ya mwezi wa tatu mwakani vilivyopo mkoa wa Mbeya, Iringa, Njombe na Katavi
Habari wana JF. Kuna mtu yoyote anaezijua shule nzuri zenye programu maalumu kwa wanaorudia kidato cha nne, kuanzia utaratibu wote mpaka bei nasikia ni affordable. Ahsanteni. Niko Dar es salaam.
Naomba Masada Mim nasoma diploma in nursing namaliza 2018 mwez wanane lkn malengo yangu niunganisha nisome degree mwaka huo huo je nifanyeje ili nipate matokeo ya diploma haraka ili niombe degree...
A father left 17 ducks as asset for his Three Sons.
When the Father passed away, his sons opened up the will.
The Will of the Father stated that the Eldest son should get Half of 17 ducks,
The...
Wana bodi, nchi ndio maana ina mikosi mingi, haisogei. Tatizo ni watunga mitaala, wasimamizi na watendaji wetu.
Leo wife ambaye anafundisha darasa la tano geography, kaniomba nimsaidie...
Mie kaka yenu nilipita advance nilikuwa nasoma PCB, kiukweli ni kati ya comb ngumu sana, nakuomba ukasome sana pia ni comb pekee yenye mitihani 11, NILISOMA NA JAMAA ALIKUJA NA DIV 1 pts 12...
Ndugu watanganyika na Zanzibar, nimeshtushwa sana na hili ingawa nilishawahi kulisikia sikia kuhusu muungano huu wa Tanganyika na Zanzibar.
Suala la utata na legitimacy ya muungano huu ni tete...
Kwa ambao ni wazoefu naombeni ushauri namna ya kuwasilisha kitu kwa kiingereza maana hali yangu ni mbaya sana.
Yaan nawaza hadi sina hamu
Nimechaguliwa Kuwasilisha kazi hiyo ndani ya wiki hii...
Enyiii watumishi wa wizara ya elimu, hususan Waziri, Angalieni vitu vya msingi kwanza katika sekta ya elimu, VITABU, VITABU, VITABU mh. huku shuleni walimu tunapata shida, hatuna vitabu, wanafunzi...
Hi every body!
Naomba ufafanuzi hapa, ukitaka kwenda kusoma Kenya kwa level ya advance secondary ni sharti uwe na level ipi ya elimu ya hapa Tanzania? na ukisoma advance ya Kenya unaweza kujiunga...
Serikali kupitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu Sekonari (MMES) inatekeleza miradi mbalimbali ya uboreshaji wa miundombinu ya shule za sekondari ikiwemo ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike ambao...
Habari wana jukwaa?
Tafadhali, kama uzi unavyojieleza, naomba msaada mwenye syllabus ya kozi zifuatazo zinazotolewa na vyuo vya VETA hapa nchini.
1. English language
2. ICT
3. Enterpreneurship
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.