Moja nadhani imefika muda tuamue kua ipi itakuwa lugha ya kufundishia kuanzia awali mpaka vyuo vikuuu kama ni english au kiswahili.
Juzi kati hapa mjin mbeya kulikuwa na mchucho katika shule ya...
Katika msimu wa zao la korosho mwaka 2017/2018 wakulima wa Wilaya Tunduru watachangia shilingi 50 kwa kila kilo moja ya korosho na fedha zitakazopatikana zitaelekezwa katika kuboresha miundombinu...
Wakuu salaam!
Bila kupoteza mda nimeona kwenye taarifa ya habari kuwa serikali Imezindua shahada ya kwanza ya sayansi ya kijeshi!
Je ni sayansi gani hii? Naomba kwa wanaojua anijuze na mimi...
Kama kichwa cha mada kinavyo jieleza ninaomba msaada wa mawazo kwa mwenye ufahamu nilichaguliwa TIA kwenye bachelor of accounting and finance nikaenda kufanya usajili nikapewa na namba ya usajiri...
Kila mmoja wetu kwa namna moja ama nyingine kuna changamoto ambazo zinamkabili kuweza kupata mafanikio zaidi. Na hizo changamoto ndizo ambazo tunaziita kifungo cha umaskini, kwani kifungo hicho...
Wakuu,
Pamoja na kuuona ugumu katika kutafuta nafasi ya Tutorial Assistant upande wa Kiswahili/Kiingereza,
Bado nina nia na malengo ya dhati ya kuwa mwanataaluma mbobezi wa ama Kiswahili au...
Funguo za mlango wa maisha yako ni MUNGU na wewe mwenyewe ...Usikubali kuomba msaada haraka kwa watu kabla huja jaribu na kushindwa ...kusaidiwa kila jambo bila wewe kuonyesha nia ya kufanya...
Hongereni kwa kuchaguliwa "The White University" Nawashauri hivi:-
1. Yapo makampuni ya mabasi yatawataka mlipe pesa benki ili yawasafirishe hadi UDOM- Kataa kwani watakupiga hela halafu safari...
Habari za weekend ndugu.
Nahitaji kurisit mtihani wa kidato cha sita mwaka 2019 na nilishamaliza mwaka 2016 with division 3 point 15, ushauri wenu ni kujua.
Je itanisaidia mimi kupata mkopo...
SCIENCE AND MATHEMATICS
Hili ni swali nililojiuliza mara nyingi sana, nimeitathimini kazi ya uwalimu hasa sule za sekondary hapa nchini na mazingira ya ufundishaji kwa ujumla wake. Hayo tuyaache...
Ukipita njiani utakuta kuna barabara zinajengwa na watu kutoka mataifa mbalimbali, hasahasa toka uchinaa na Japan. Kwenye miradi hii utawakuta watanzania wawili watatu wenye degree, wengine...
kama kichwa kinavyosema
nimedahiliwa udom "bachelor of Software Engineering "
pamoja na ARDHI "bachelor of science in Geomatics " jamani niende ipi apo
chondechonde naomba ushauri wako ndugu yangu
"My name is Sir Chichi, I will be with you in English and History. I need your cooperation, thenk yuu
pwaa pwaaaaa." (makofi)
Najua ndo nakoelekea huko! usinishangae!! sijapenda kuanza mazoezi ya...
Wakuu kati ya BBA (Bachelor in Business Administration) MWENGE UNIVERSITY na Bachelor of science in taxation IFM ipi ni sawa, bora na marketable kwa usawa huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.