Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habarini wanajf Naomba kufahamishwa chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa mitambo kama Caterpillar, Greda, kijiko nk. Ninapenda kujua vyuo, mahali vilipo, jina la course pia na gharama kama...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Waungwana kwa waliosoma lute tukutane hapa tukumbushane mambo ya kipwela,kala,ngopyolo ushirika na tukuyu kwa ujumla,leo nimeikumbuka ghafla shule yangu iliyonitoa ujinga enzi za kina V.Minga,mama...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Licha ya pilika nyingi na utafutaji wa kimaisha kuniweka busy nimeshauri halmashauri yangu ya kichwa kurudi katika ulingo wa kusoma tena, ili shughuli zangu za kimaisha ziende na huku ninasoma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali kupitia Wizara ya elimu, imewataka wanafunzi wote wa elimu ya juu ambao hawajapata mikopo wachangamkie fursa ya kukata rufaa iliyotolewa na bodi ya mikopo kuanzaia jana, Jumatatu, Novemba...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wapendwa, Naomba orodha ya vitabu vya kujibia somo la Kiingereza kidato cha tano na sita vya Ushairi,Riwaya na Tamthilia. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Sasa kazi kwenu kusoma
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Yaelekea bodi imefungua dirisha hilo kimyakimya bila Tangazo lao katika website yao. Kwa waliokosa mkopo ukiingia katika akaunti zenu pale chini wameweka sehemu ya kukata rufaa(Appeal now). Ila...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Lile agizo la jana la spika wa bunge kuitaka serikali kuja na kauli juu ya hatima ya wanafunzi wengi kukosa mikopo na wengne kutakiwa kulipa kwanza ndo wasajiliwe. Mwenye taarifa tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hoja ya msingi ya spika iliyokuwa inataka majibu ya serikali ni hii hapa: Vyuo vyote vinadai malipo mengine kabla ya kusajiliwa na ambayo hayapo kwenye boom. Malipo haya ambayo ni lazima...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Je ni sahihi kwa mtu mwenye umri wa miaka 21 kurudia kidato cha pili kwa lengo la kutusua mtihani wa kidato cha nne?
0 Reactions
29 Replies
5K Views
TAARIFA KWA UMMA Kufuatia TAARIFA zinazosambaa kwenye Mitandao ya kijamii kama jamiiforum na mengineyo. Wizara Ya MIKOPO TuMaSo inapenda kuutangazia UMMA wa WanaTuMa na jamii kwa ujumla UKWELI wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanafunzi mwaka wa pili na wa tatu katika chuo cha TUNAINI UNIVERSITY MAKUMIRA bado hawajapata stahiki zao za chakula na malazi pamoja na kwamba kuna baadhi ya vitivo vimeshasain tangu ijumaa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Tuliposema tunasaidia elimu ya sekondari BURE tuliwaaminisha wazazi kuwa ni masikini hawawezi changia hiyo elf.20 kwa mwaka tukasema ELIMU BURE. Huyu aliyesoma bure kwa umaskini wake akifika chuo...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi ni kwa nini wale lecturers waliobahatika kusoma postgraduate studies zao nje ya Tanzania wanakuaga watu waelewa sana. Yaani utakuta kwenye test au UE analeta vile vitu amefundisha.Na hata...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Ndugu JF members poleni na majukumu.mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo cha Sebastian kolowa Memorial university nasoma bachelor of education special needs upande wa hearing...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Inaelezwa kuwa kiwango cha ushiriki wa wananchi katika shughuli za jamii hasa za kiutawala nchini Tanzania kiko chini na bado kinashuka, jambo ambalo linaathiri utolewaji wa maamuzi yanayohusu...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Habari zenu wanajukwaa ..?? Napenda kuuliza kama kuna Diploma holder yoyote aliyejiunga na Bachelor kwa upande wa afya kapata mkopo mwaka huu maana naona kama tumekosa na kutengwa mwaka huu. Mimi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
WANAFUNZI WENGINE 1,775 WA MWAKA WA KWANZA WAPATA MIKOPO Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo imetangaza orodha ya Awamu ya Nne yenye wanafunzi 1,775 wa Mwaka wa Kwanza...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Samahani naomba kuuliza kwa anaejua je mtu anaesoma course tajwa hapo juu anaweza kuajiriwa na serikali kama mwalimu kama mwalimu mwingine na je fursa zingine za ajira kwenye course hiyo ni zipi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom