Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mtu aliyesoma deploma ya phamarcy anaruhusiwa kufungua pharmacy naomba msaada wa jibu
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Habari za weekend wanajamvi. Kama mada inavyojieleza naomba ufafanuzi wa kina juu ya nadharia zifutazo za sintaksia:_ 1.Nadharia ya ukuu na umiliki (government & binding theory). 2.Nadharia ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Nilihtaji kwenda chuo cha hombolo kusomea social development na kwa sasa nmeshachelewa, kwako wazo langu jipya nichukue certificate ya record management chuo cha mwalim nyerere alaf nkipata hiyo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Najua wengi wetu tuna expirience kubwa na tunakumbukumbu za ajabu na za kuchekesha sanaa, wakati tunaelekea kufanya mitihani ya form four enzi zile, siku za kabla ya mitihani, wakati wa mitihani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi, naomba kuuliza, hivi kupima au kujua Chuo kuwa ni bora kielimu au pagumu tunatumia kigezo cha idadi ya wanafunzi wanaokuwa discontinued kutokana na academic performance au kinatumika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujuzwa ,mimi nataka kufahamu iwapo mtu umehitimu form IV na matokeo yako yanakuruhusu kwenda Advance na ukaaamua usiende advance na uende chuo ,jee Unaweza / unaruhusiwa kuanza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wale tulio ahilisha masomo Kwa kukosa mkopo ,tukutane apa, tushauriane cha kufanya tutakapo omba mkopo mwakani
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Kufuatia kauli ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Joyce Ndalichako aliwa Bungeni leo na baadae Wizara kutoa tamko rasmi kuwa haiitambui taasis ya Tanzania Social Support Foundation (TSSF)...
1 Reactions
93 Replies
19K Views
Hey, habari zenu ndg zangu, sorry naomba msaada kwa hili. Nimesoma nurse midwives (enrolled nurse) na nataka niingie JKT, sasa tatzo vyeti vyangu bado viko chuoni nadaiwa wakuu vya utaalamu...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Naomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia sehemu ambayo naweza kupata ufafanuzi wa jinsi ya kusoma Masomo ya CERTIFIED FRAUD EXAMINE(CFE) afanye hivyo.Kwa kweli nina uhitaji mkubwa sana na habari...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habarini wana jf! naomba kujua ni jinsi gani naapply kwa mikopo ya tssf, nimengi yamezungumzwa ila nimeamua kuchukua hii risk, tafadhari anaomba msaada wa jinsi ya kuapply maana mfumo huu ni mpya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumradhi wanajamvi naomba msaada wa kimaelezo kuhusu shule hii has kwa upande wa nursery & primary. Naomba kujua Ada yake kwa Boarding na kama wanafata mtaala wa NECTA au Cambridge,
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Habari Wana Jamvi.. Uzi huu ni mahususi Kwa waombaji walioomba mkopo Toka bodi ya MIKOPO Kama Wanachuo wanaoendelea.. Bodi ya mikopo imetangaza batch kama Tatu na zote zilikua za waombaji...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu, Ifike kipindi chuo kikuu cha Dar es salaam kikae chini, kijitathmini kuhusu ubora wake. Kuna mambo/matukio mengine yanaweza kukipaisha chuo au kukishusha kwa kasi ya kimbunga. Tukio...
3 Reactions
63 Replies
8K Views
Jamani naombeni mnisaidie, kupata information zozote khs Postgraduate Udsm kwn toka walivyotoa majina hakuna kingine wametoa. Isitoshe joining instruction pia kwa postgraduate bado.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wilaya ya Hanang’i iliyopo Kaskazini mwa Tanzania bado inakabiliwa na upungufu mkubwa wa vifaa vya maabara licha ya nguvu kubwa ya wananchi iliyotumika kujenga majengo ya maabara katika shule za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wadau wa elimu. Kama tujuavyo , walimu ni msingi mkuu wa maendeleo ya taifa lolote duniani. lakini katika taifa letu ualimu umekuwa ukionekana kama ni taaluma ya watu wanaotoka...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Wanajukwaa, naombeni kujuzwa na wenyeji wa hapa Dom napata wapi tuition nzuri kwa mtoto wa class four primary schools? Moderator wameedit heading Nisaidieni
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Angalia mahojiano ya Hotmix juu ya changamoto zilizojitokeza katika udahili wa vyuo 2017/2018.na changamoto zake
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom