Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana JF wenzangu mimi niko mwaka wa tatu chuoni UDSM ninasoma BSc.Ed.Sasa kuna course moja ya Physics yenye cod PH 346(Kwa waliosoma UDSM watakuwa wanaifahamu) ila nadhani hata vyuo vingine...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Maisha ghali ya Dar es Salaam yanayohitaji kila kitu lazima ununue katika bei kubwa ukilinganisha na mkoa yanapelekea wanafunzi wengi kuishi maisha ya kimbwa mjini Dar. Ukitaka kulithibitisha...
1 Reactions
3 Replies
987 Views
RUSSIAN GOVERNMENT SCHOLARSHIPS FOR TANZANIANS 2017/2018 Applications are invited from qualified Tanzanians for undergraduate and masters programme tenable in the Russian Federation for the year...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarai wana JF? Kama kichwa kilivyo hapo juu taarifa yenyewe ni hii hapa chini. HESLB YATOA MWONGOZO NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA 2017/2018 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu...
1 Reactions
156 Replies
39K Views
Jaman wadau kati ya course ya PHARMACY & FOOD NUTRITION AND DIETIES ipi bora zaidi kimaslahi na ukisoma food nutrition ajira zake zinakuwaje i mean utaajiriwa wapi ???
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HESLB hayo majina 422 yaliyo baki ni ya continuing students walio omba mkopo? Mpaka saizi wanafunzi wanao endelea walio omba mkopo hakuna aliye pata mkopo. HESLB itoe maelezo nini hatima ya hawa...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Watanzania ni wabinafsi sana... Hili suala la wanafunzi kukosa mikopo ya elimu ya juu ilipaswa kuwa mjadala wa kitaifa..., bahati mbaya watanzania wengi wanapenda 'umbea na porojo' sasa wanajadili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari jamani..nilikuwa nauliza ni wapi naweza kupata mafunzo ya upakaji rangi wa nyumba kwa muda mfupi na ada nafuu. ....Nawasilisha
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Tulipo andamana walidaikwamba ijumaaa yaan Jana wangetoa majina mengine,mpaka sasa hawajatoa,[emoji40] [emoji40] [emoji40] masomo yameanza bila direct cost mwanafunz hawezi kupata registration...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza mitihani ya upimaji wa wanafunzi wa kidato cha pili na darasa la nne. Akitangaza mtihani huo leo Jumapili Novemba 12,2017 Katibu Mtendaji wa...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Nina mdogo wangu aliefanya mtihani wa form four mwaka jana na kupata alama zifuatazo B, C, D, D, D. Yaani B-Kiswahili, C-English, D za history, civics na Geography. Swali ni je! itawezekana...
0 Reactions
33 Replies
15K Views
Jamani ndo nataka niende kuji-registrate Mbeya University (MUST) kwa diploma nimechelewa au vipi.. nijibuni jamanii....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman msaada, eti bachelor of socialogy and social work ajira zake ni vipi? Na unakuwa nani baadae? Kuna jamaa yangu aliweka chaguo la mwisho kama wakamchagua MUCCOBS socialogy and social work...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Wakati hawa jamaa wanatuhamisha kutoka analojia kwenda Dijitali Hawa jamaa (mamlaka zinazohusika waliwahi jinasibu kuwa chanel zote za ndani tutakuwa tunazipata hata kama hujalipia Nilikuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kweli natamani nikutane nabJerry muro nimpe ushauri wangu kuhusiana na kipindi chake kizuri sana cha usiku wa habari (Nadhani mnakikumbuka) Kama kuna mtu anafahamiana naye amwambia kuwa kile...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya fursa Hiyo kwa wenye uhitaji, ila masharti yake yatakukimbiza kabla hata hujapata Maelezo. Huu ndio utapeli uliowazi, wanajinasibu kusaidiana watoto maskini lskini hakuna kitu, vijana wanalia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habar vijana wenzangu tuliofanya mtihani wa basic technician certificate NTA level 4 August 2016.. nina imani matokeo yetu yametolewa rasmi 3.february..2017.. na kwa bahati mbaya wengi wetu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Najua unajua lakini napenda upate kujua zaidi! Irabu tano za Kiswahili zina uwezo wa kutengeneza neno kamili pasi na matumizi ya consonant, maneno haya mf ua, oa, au. Kiswahili pekee kinakidhi...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom