Kumekuwepo na 'slogan' nyingi zinazotumika katika kutanabaisha umuhimu wa Elimu kama vile: Elimu ni ukombozi! Elimu ni kazi! Elimu kwa maendeleo! Elimu ni juhudi na maarifa n.k. Hii yote inalenga...
Habari wadau,
Huwa natamani sana sana niwe nime register pia katika fani ya uhandisi.. Nimesajiliwa katika Bodi ya manunuzi,pia huwa napenda kusajiliwa ktk bodi ya uhandisi nipo viwandani sugar...
Names of candidates who have been approved and awarded a scholarship to study here in china from Tanzania for the said academic year, by CSC
regards,
for those comming to tianjin ...PM tafadhali...
Hili ni kwenu vijana wa kitanzania wasomi wa vyuo vikuu.
Vijana hamfahamu hata HAKI zenu za msingi yani hamjielewi, hamjitambui na mpo mpo tu kama juzi na jana vile.
Mambo mengi ya hovyo...
Waraka wa Elimu namba 6, wa mwaka 2015 kuhusu utekelezaji wa Elimu ya Msingi Bila Malipo, ambao kwa mujibu wa waraka huo elimu msingi inaanzia Awali hadi kidato cha nne, umeanza kutekelezwa na...
Kuna hii kozi nimeiona amechaguliwa mdogo wangu inaitwa IR's (INTERNATIONAL RELATIONS AND DIPLOMACY) Kwa anaeijua inahusu nn zaidi na vipi kuhusu ktk ushndn na kozi zngne ktk soko la ajira na...
Napenda kutanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kuweza kunipa pumzi ya uhai mpaka dakika hii, kuna waliotamani kuiona siku ya leo ila kwa neema yake wametangulia mbele za haki.
Napenda...
Licha ya Mtaala wa elimu kubainisha mambo ya msingi ya kuweza kufanikisha elimu ya awali, lakini serikali haitoi ruzuku kwa wanafunzi wa elimu hiyo ili kugharamia mahitaji yao wawapo shuleni...
THE UNIVERSITY OF DODOMA HUMANITIES SCHOLARSHIP
The University of Dodoma (UDOM) wishes to announce the call for application for The University of Dodoma Humanities Scholarship for undergraduate...
Habari wadau mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo pale IFM certificate first year 2017/2018 lakini bado sijaripoti wala sijafanya usajili mpaka sasa na hii ni wiki ya pili tangu chuo kifunguliwa...
Habari wanajamvi natamani kuongeza maarifa kichwani mwangu kwa kusoma vitabu natamani nikiwa naongea na watu bac nitoe mifano kupitia vitabu..
Hv ni vitabu gan visivyo chosha kusoma yawezekana...
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wakusanyika ofisi za bodi ya mikopo kushinikiza wapewe mkopo kwakuwa wana sifa zinazostaili kupewa mkopo.
Swali la kujiuliza, mbona tumeaminishwa kuwa hakuna mwanafunzi...
Ndugu zangu kuna jambo linashanganza sana katika elimu. Tutasingizia walimu lakini matatizo ya elimu yameanzia juu kabisa. Kwa kawaida kitabu kinapoandikwa hukaguliwa kabla ya kwenda katika...
Kwanza nipende kuwapongeza wanafunzi wote mliochaguliwa UDSM, na pia niwape pole kwa changamoto za ugeni na 'jokes' kutoka wanafunzi wazoefu
Dhumuni la kuandaa uzi huu ni kuwataka mjitafakari na...
Naomba kusaidiwa jamani pesa ambayo inaingia kwenye account ya chuo ni ipi na pesa ya kujikimu ni ipi kutoka kwenye ule mgawanyo (loan breakdown wa Heslb)........!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.