Habari za mihangaiko ya maisha ya kila siku.
Nina mdogo wangu kapata vyuo viwili kwa elimu ya shahada, Mzumbe kapata public adminstration na IFM kapata insuarance .
Ushauri ni course gani asome...
Kwa kutumia mfano wa nchi kama Kenya wao wanaishia kidato cha nne na wanaingia vyuo vikuu na vyuo vya kawaida huku content zao karibia ni kama za kwetu na miaka ya vyuo vikuu ni kama yetu.
Kwa...
Nawezaje kuhakiki taarifa zangu za vyeti Diploma na degree kwa kutumia internet source bila kwenda TCU au NACTE?
Karibuni wazee kwa msaada kwani nipo mbali na bongo
Samahani naomba kuuliza wadau! Hivi ni kweli waliochaguliwa muhimbili mwaka huu batch ya 3 wamerudushwa nyumbani sababu nafasi zimejaa
Naomba kujuzwa mapema wanandugu.
Naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu na hili
Naona watu wengi wanaosoma school of sopam mzumbe university kama bhsm ,bhrm,bpa na wengine hawajapewa hela ya field. Naomba kufahamishwa
Mimi nachukua...
Husika na kichwa cha habari, jamani mwaka jana nilipangiwa chuo fulani private iringa kutokana na kukosa mkopo ikabidi niache chuo nirud nyumbani, sasa mwaka huu nimeapply udsm nimepata sasa inshu...
TCU wametoa tangazo la wale waliokumbwa na kadhia ya multiple selection na walio omba tena baada ya kuwa approved. Mimi binafsi nafahamu kesi mbili za watu waliotupwa kwenye kundi ambalo...
Wadau. Nahitaji kujuzwa. ni Wapi naweza kupata mafunzo ya lugha ya kifaransa? Matumizi tarajiwa ni kifaransa as a working language. Plain kuandika, Kusoma na kuongea.
Je kukata rufaa kwenye bodi ya mikopo HESLB ni kwa ajili ya wale tu waliopata mkopo usioridhisha au pia ni hata kwa wale ambao majina yao hayajatokea kwenye list ya wanufaika wa mkopo kutoka HESLB???
Hivi kweli TCU NA Serikali hamjaona watoto wanavyoteseka na kukosa nafasi vyuoni? Kweli Elimu siyo priority I can see!!!! [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Wakuu husika na hiko kichwa juu
Wanabodi kumekuwa na wimbi la wanafunzi wa mwaka wa kwanza kukosa hostel,hii imepelekea baadhi ya wenzao kuwasaidia kukaa nao pamoja(kubebana) na kuna baadhi...
Mbona batch ya tatu ya wanufaika wa mkopo kutoka Heslb ina majina 7901 kati ya 8323 yaliyotarajiwa ili jumla ya majina yote yawe 30000 kama Heslb walivyotangaza.
Je majina 422 yaliyosalia kutakuwa...
Wadau heshima kwenu!
Nina mdogo wangu kapangiwa chuo RUCO na jina lake limeonekana batch 3 kuwa kapata mkopo hivyo sijajua ni kwa kiasi gani ili nijue wajibu wangu ni Nguvu kias gani inahitajika...
Wadau naomba ushauri....
Mdogo wangu kachaguliwa chuo kikuu mzumbe, kusoma bachelor of Procurement but yeye anataka kubadilisha asome bachelor of Insurance, anadai procurement ngumu,
Wanajamvi...
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu nchini (HESLB) imewatoa hofu wanafunzi waliokosa mikopo kwakuwa ipo katika hatua za mwisho kutoa majina ya awamu ya tatu.
Kauli hiyo imekuja ikiwa leo ni siku ya...
Ndugu wana JF mimi nipo UDOM ila mkopo umeenda MWECAU nipo nafanya taratibu kurudisha ila wasiwasi wangu ni;
Pale MWECAU ada ilikuwa 1.5M na BODI wakanilipia 1.245M ila hapa UDOM ada ni 1.2M...
Habari wanajukwaa. Naomba kujuzwa jinsi ya kuhama chuo kwa waliodahiliwa na NACTE mwaja huu maana natafuta option hiyo kwenye profile siioni. Natanguliza Shukrani
Nimefanikiwa kupata mkopo lakini nimepata boom tu shida inakuja kuwa mkopo umetumwa mwalimu nyerere memorie lakin mm nili confirm Mocu na nimeshafanya registration naomba msaada wenu kitu cha kufanya
Ikiwa wewe ni msomi, na umepata nafasi ya kufanyiwa interview mahala fulani, ukakutana na swali linalo sema " kukua kwa technology kumesaidia vipi kupunguza rushwa"" . Utatoa hoja zipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.