Tangu jana mmetangaza kuwekwa mtandaoni kwa matokeo ya mitihani lakini mtandao haufunguki vijana wamekesha kusubiri, mngetoa taarifa ya changamoto ya mtandao wenu au msingetoa matokeo hayo ni...
Kuna mdogo wangu anatarajia kuanza kusoma degree ya LINGUISTICS chuo kikuu mwaka huu lakini ana mpango wa kubadili mawazo kutokana na kile anachokiskia kuwa Linguistics ni ngumu sana na ni rahisi...
Naombeni msaada, nimeshindwa kusoma chuo kwa kukosa mkopo hadi nimeamua kurudi nyumbani na sina la kufanya, nisaidieni nisaidieni jamani natoka familia masikini, natamani kusoma ila sina msaada...
Najiuliza, wakati Mwalimu anaanza harakati za kudai uhuru hivi kwa nini hawakumpoteza ili iwe onyo pia kwa wengine viherehere?
Nasikia alifunguliwa kesi za uchochezi ila cha ajabu wazungu hao...
Samahani! Ningependa kupata msaada kuangaliziwa kama nimepata mkopo namba yangu ni s0255.0012.0012 maana nimepitia majina ya awamu ya kwanza na ya pili ila kila nikijaribu kutafuta kwenye mtandao...
BARUA HII YA WAZI IMFIKIE NAIBU WAZIRI WA ELIMU MH. WILLIAM OLE NASH.
Na
Abdul Nondo.
Habari za majukumu, Mh.Naibu waziri Mimi Naitwa Abdul Nondo, ni mkurugenzi idara ya haki na wajibu wa...
Habarini wakuu kwa yeyote anaesoma pale au anaekifahamu vizuri plz nisaidie hata contact nikuchek I need to know about some stuffs kama Hostel zake na vinginevyo plz wakuu nisaidieni mdogo...
Mimi ni mmojawapo wa wahanga. Nmepata 2 ya 12 CBG nkaapply courses za kawaida kama education, environmental science katika vyuo mbalimbali kama SUA, Ardhi, Udom, (St John na Rucu hivi nmeapply...
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Shida yangu ni kupata ushauri kutoka kwenu. Mimi nahitaji kufanya mtihani wa form six kama private Candidate kwa mchepuo wa CBN.
Shida yangu kubwa ni kwa wale...
Anaandika.
Abdul Nondo.
Magazeti mengi,vyombo vya habari vimeandika,na watu wengi wamekuwa wakiandika baada ya kauli ya Mh.Rais juu ya kuidhinisha sh.bil 147 kwa mikopo elimu ya juu.
Ila watu...
*SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA*.
1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu.
- SUA.
2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi.
- MUHIMBILI.
3...
Ahsante sana wanajf kwa kunifariji kipindi chote ambacho nilikuwa nawaza kukosa mkopo baada ya chet cha kuzaliwa kutopeleka RITA hatimaye nimepata na ndoto zangu za kusoma udsm zmetimiaaaaaaa
*KWA WANAFUNZI WA MWENGE CATHOLICS UNIVERSITY (MWECAU)*
Mtandao wa wanafunzi Tanzania,kupitia idara ya Haki na Wajibu wa wanafunzi tulipata Malalamiko yenu.
Malalamiko yenu kwa wanafunzi wa...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inawatangazia waombaji walioomba kujiunga na masomo ya shahada za kwanza katika Vyuo vya Elimu ya Juu nchini kuwa imekamilisha zoezi la uhakiki wa majina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.