Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu habari! Kuna scholarship 10 ambazo ni full funding nimekuwekea. Ingia International Scholarships, Scholarships for Developing Countries, Scholarships for African, Jobs (Nafasi za kazi) and...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Kuna umuhimu wa kuwa na PC kwa masomo chuoni hasa koz za afya maana wengine hali zetu ngumu.
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Naweza kuanzia kufanya mitihani ya body NBAA ya shahada ya juu ya uhasibu nikiwa 3 year bachelor ya accountancy?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Husika na kichwa hapo juu,kuna taarifa yeyote muhimu iliyotelewa tangu jumatatu hadi leo jumatano kwa wale waliohudhuria orientation week plz naomba niwe napata taarifa kutoka kwenu ndani ya hii...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi, Bila kupoteza wakti niende moja kwa moja kwenye mada husika. Baada ya harakati za kuomba ufadhili wa ada kwa masomo ya diploma pale DIT kugonga Mwamba sasa nawaza kwenda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani naomba mwenye biology,chemistry and physics syllabi anisaidie
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nakumbuka namna namna nivyokuwa na hamu ya kufika chuo kikuu. Namna nivyosikia simulizi za kuvutia juu ya maisha mazuri yaliyojaa anasa na starehe wanayoishi wanachuo. Hakika nilitamani na...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Husika na kichwa hapo juu,kuna taharifa yeyote muhimu iliyotelewa tangu jumatatu hadi leo jumatano kwa wale waliohudhuria orientation week plz naomba niwe napata information kutoka kwenu ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Zipo mbinu nyingi sana za kufuta au kupunguza kuzungumza au kuandika broken English. Ni vizuri kutoa mbinu kulingana na broken husika. Hivyo, andika au uliza kwa Kiingereza ili tuangalie broken...
8 Reactions
205 Replies
30K Views
Poleni sana vijana wetu, hii serikali ya wanyonge,tutafika tuu msikate tamaa. Kinauchonipa shida sana ni pale kuona vijana walikua busy na application za mikopo kwa kubangaiza iliwafanikiwe...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Jaman chuo gan cha private kinachotoa course ya pharmaceutical science kwa ngazi ya diploma kizuri na chenye hospitali ya mazoezi Msaaada please
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Nilichaguliwa first selection ya form 5 mchepuo wa PCB Mwaka huu, lakini nikaumwa sana sikuweza kwenda hivi naongea nipo nyumbani tu, swali langu je nikiomba shule mwakani naweza pata nafasi kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za wakati wakuu.. Nimechaguliwa chuo cha Ardhi kozi ya Urban and Regional planning lakini nina mpango wa kubadili kozi nikifika chuo nichukue Architecture au Quantity Survey au Land...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Kwa mshangao mkubwa nimeona vyuo vikuu vikicheza rafu na kusababisha maumivu makubwa kwa wanafunzi. Nina uhakika na rafu hizo. Kuna jamaa Yangu alikuwa amechaguliwa vyuo vinne, na akaamua...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau wa elimu,tafadhali mwenye uelewa na mada tajwa hapo juu anakaribishwa maoni tafadhali...... Ni muhimu
0 Reactions
59 Replies
12K Views
Naomba kujulishwa kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma za clinical medicine na pharmacy kipo kigamboni anijulishe na bado kinapokea wanafunzi! Asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za wakati wana jf natafuta wanafunzi wa advance mchepuo wa EGM mkoa wa mwanza wanao kaa Day's tuwasiliane watsap no 07-58494651 au hata mwalimu pia wa masomo hayo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari.... Naomba kufahamu kati ya course hizi ipi ina uwanja mpana katika Ajira. Sociology. PSPA. Transport and Logistics Management. Ahsanteni.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10 Matokeo yangu ni kama ifuatavyo Phys =B Chem =A Maths=A Bios=A Geog=D Eng=C Kisw=B Hist=A Civ=C...
6 Reactions
124 Replies
14K Views
Licha ya serikali kuendelea na jitihada za kupunguza tatizo la uhaba wa walimu katika shule za msingi, bado walimu waliopo katika baadhi ya shule za msingi wanalazimika kufundisha masomo ambayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom