Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa anayekifaham chuo cha aggrey vizur kuhusu taaluma ya ualimu secondary na mazingira kiujumla
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Jaman wanaJF hivi kuna ukweli wowote kuhusu wanafunzi waliopata mkopo 3rd batch mbona karibu wote wamepewa meals&accommodation tu NA ada hatujalipiwa Mimi nakaribia kukata tamaa ya kusoma jaman...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Kwa mwenye kufahamu ada za pale MWENGE UNIVERSITY kozi ya BA IN GEOGRAPHY AND ENVIRONMENTAL STUDIES naomba anijuze! SAMAHANI KWA USUMBUFU
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau naomba kuuliza kdgo?. Hivi mwalimu anayekwenda kusimama mitihan ya NECTA anatakiw awe na sifa gani za kiutumishi? Naomba kujua aiseee hii ktu seriously..!! [emoji56] [emoji56] [emoji56]
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Nipo njia panda wadau, nafanyaje hapo nilikua kwenye multiple selection, second around (nilichaguliwa chuo zaidi ya kimoja) mimi nilicomfirm UDOM na mpaka admission letter wakanitumia...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu!! Nina mdogo wangu yupo kidato cha nne na ana mpango wa kwenda technical college na sio form five sasa naombeni mnipe orodha ya vyuo vya ufundi vya serikali vinavyowachukua...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuna maneno maneno huku wengine wanasema ni Bora waombe kurusha mwaka ili wasome mwaka ujao watafute ada kwanza, Kama ni kweli mkopo wa 27,000 na 8000 unamsaidia nini Mwanafunzi? naomba ufafanuzi
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Anayefahamu muongozo wa mitihani ya wizara(NACTE) katika hiyo koz je ipo kwa kila level yaani cmt04,cmt05,cmt06 au ipo vip hiyo Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Je itakuwepo 4th round ya mkopo au ndo basi tena hamna kitu
0 Reactions
11 Replies
1K Views
99% will fail
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nimejaribu mara kadhaa kuingia kwenye website ya chuo kikuu cha Dar es Salaam nakutana na haya maneno. Aneejuana nao awaambie ili watu tupate taarifa tunazozitaka.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Vurugu katika udahili uliotokana na multiple selections wa kulaumiwa ni heslb. Vyuo vimecheza rafu mbele ya refarii TCU aliyegeuka kuwa mtazamaji! Vyuo vimekuwa vikiwang'ang'ania wanafunzi kwa...
0 Reactions
2 Replies
635 Views
Ndugu wana JF naomba msaada nifanye nini nimepata mkopo! ila cha kushangaza mkopo wanaonesha unaenda chuo cha MWENGE CATHOLIC wakati mimi nilichaguliwa UDOM na tayari nimeripoti nifanyeje?? msaada
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Awam ya 1&2 sikupata mkopo Lakin awamu ya 3 jina langu lipo kwenye list lakini cha kushangaza nikiingia kwenye account yangu nakutana na maandishi yaliyo kati ya mstari mwekundu yanadai "The loan...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu msaada nashindwa kuangalia loan status yangu sababu maandishi yanatokea nusu yaan naambiwa ni click left side...lakin pamezibwa nifanyaje? msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Naombeni kuuliza hiv kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo nikimaanisha mwaka wa 2 na 3 majina yao ya mkopo huwa yanatoka kwa batch pia?? Yan kwamba unaweza kuwa continuos student...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wasalaam wanajukwaa Tafadhali sana naomba kujua na kufahamishwa kuhusu tarehe ya mwisho katika kuripoti na kufanya registration kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini hasa katika vyuo vya serikali...
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Shirika la Tanzania social support foundation (tssf), linawatangazia wale wote waliokosa mikopo inayotolewa na hesbl kuwa, wanayo nafasi sasa ya kuomba mikopo kupitia shirika hili, walengwa ni...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Yaani ukikutana na graduate WA udsm WA sasa anazidiwa na mhitimu diploma. Akishamaliza kujisifia kuwa nimesoma udsm vingine hasa uwezo WA kupambanua mambo professionally utawasikitia maskini ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom