Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hello dear natumaini hamjambo naomba kwa anayefahamu shule ambayo unaweza kusoma five na six kama mwanafunzi na kufanya mitihani Kama PC kwa MKOA wa mwanza (EGM) Matokeo NECTA IV 2015 S1065/0049...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimepangiwa hostel za mabibo ila kama kuna mtu kapangiwa za magufuri au main campus na anataka mabibo anicheck tubadilishane
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkopo niliopata kutoka HESLB ni kama ilivyo hapo kwenye Screenshot: Swali langu nataka kujua hapo kwenye SFR kwa Mechanical Engineering UDSM kuna mzigo natakiwa niongezee? make wengi wa...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Ambaye anakifahamu vizuri chuo cha Afya St Francis kilichopo ifakara anijuze ubora wake kwa utoaji wa mafunzo na mazingira kwa ujumla.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi nilikuwa mmoja wapo katika majina raundi ya pili ya walio kuwa na multiple selection..Na nikaamua kuconfirm katika chuo cha udom!! Lakini mpaka sasa sijaona mrejesho wowote kutoka kwao..au...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu. Kuna chuo kimoja cha private(jina kapuni) kimetoa barua ya admission ambapo katika barua hiyo kuna Maelezo ya ada inayotakiwa ilipwe. Lakini pia kuna ambacho wanakiita...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Shule yafungwa kwa kukosa walimu 2007-10-26 09:23:56 Na Mohab Dominick, Maswa Shule ya sekondari ya Binza ya wilayani Maswa Mkoani Shinyanga imefungwa kwa muda kutokana na kukumbwa na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
una swali lolote kuhusu hostel, usajiri,degree programs,usalama, nk. basi usisite kuuliza
0 Reactions
79 Replies
8K Views
Habar zenu wadau naomba kufahamishwaa vp kuhusu hivi chuoo selection bado tu ???? mpaka lini ndio wanatoa Shukran
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wana JF, Husika na kichwa hapo juu,mimi ni kijana wa makamo,mtanzania mwenzenu ninaehitaji msaada wa kielimu. Kwa kufupisha maelezo,baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha form6 ya daraja la...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi Ninasoma Program language ya PHP Na kwangu imekua rahisi sana kuielewa. ila Kwa sasa naona kuna language nyingi za programming Mfano:Phython,C++,C#,Java, Javascript,Golang Na Nyingine nyingi...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Wakubwa naomba kujua kuhusiana na hiki chuo manake nimechaguliwa hapo Doctor of medicine. Ada take VP?.... VP mazingira ni mazuri?? pleezzzzz.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi nimelipia gharama nyingine Za udom Direct cost Na udoso fee Na quality assurance Vipi naweza kupokelewa ?? Sijalipia Ada (Tuition fee) Naomba msaada
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam wana JF! Kumekuwepo na juhudi za serikali ya awamu ya 5 kuzifanyia shule kongwe(mkoloni) za serikali, hakika shule zinapendeza kweli kweli kuanzia Madarasa, Maabara, Maktaba, Mabweni na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajf, nawatakia mitihani mema kwa watahiniwa wote wa kidato cha NNE ikiwa ni pamoja na wanaorudia mitihani hiyo!
2 Reactions
18 Replies
8K Views
Zimefanywa na mwanafunzi wa kike wa computer engineering mwaka was pili. So mjiandae kusolve changamoto za kidunia karibuni Dit
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba Kuuliza Jamani Kwa Yule Anayejua Hostel Za Chuo Kikuu Mzumbe Ni Kiasi Gani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu ningeomba mwenye kujua hostel iliyopo nje ya DIT, iwe karibu. Aweze kunisaidia mawasiano ya mwenye hostel. Nipate jua kama ntapata nafasi!! Shukran
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Kwenye kujaza ile option ya other than loan board inakuaje apo aise
0 Reactions
5 Replies
908 Views
Back
Top Bottom