Wapendwa Rejea kichwa cha habari kinaeleza wazi,madaktari wa chuo kikuu cha AFYA na mazingira Muhimbili wanalenga kuifuta fani ya ENVIRONMENTAL HEALTH SCIENCE ya degree.Sababu kubwa na utetezi wa...
Hivi na mm naomba mnisaidie, Mdogo wangu ana three ya14 ana DEE, hajafikisha point 4 lkn kachaguliwa bsc in accountancy CBE vipi TCU wameshusha pointi.Mpaka sasa siamini nipo safarini hebu nisaidieni
BODI imesha toa kwa kutangaza majina ya waliopata mkopo kwa awamu mbili. Hili ni sawa kabisa lakini unapotoa majina takribani 10000 kwa mfano unakuwa umeptia majina mengi zaidi, kwa nini wale...
Habari wana udsm wote wapya na wale wanaoendelea ..uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuexhange room au kuuza room kwa wale wanaohitaji kwenda kukaa nje karibuni sana tujipange na 2017/18.....
Wakuu naombeni mwenye taarifa atuhabarishe, kila nikijaribu kulog in kwenye akaunti ya Kijana wa jirani yangu ili kujua amepata mkopo au la haifunguki kwa siku ya tatu leo tangu list ya pili ya...
Kwa wote wanao soma, na wafanya kazi katika sector hii ya uwandisi kilimo naomba tupeane taarifa juu ya mambo haya yafuatayo
1. Sehemu gani ni nzuri kwa ajili ya kufanyia field
2. Sehemu gani...
habari!
kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, jamaa batch 1 ilivyo toka jina lake lilikuwemo na hii batch2 ya mkopo jina lake lipo tena. Wakati huohuo kunawengine hawajapata kwenye batch zote...
Wakuu, bodi ya mkopo imekuwa na upendeleo katika ugawaji wa mikopo kuanzia batch1 mpaka hii batch2. Ni ukweli usio pingika mpaka saizi hakuna mwanafunzi anaye endelea ( continuing student)...
Naomba ufanunuzi jamani kwa hii issue ya missmatch of names.
nahitaji kujua kama-:
1. Umechaguliwa na chuo ila TCU awaja approve.
2. Je ukienda kudhibitisha taarifa utaruhusiwa kuendelea na...
Wakuu habari za majukumu.
Nimejaribu kufuatilia tofauti ya entry qualification za nchi mbalimbali kama UK, kuna kitu tunatakiwa kukiiga ile tuweze kufikia elimu bora na yenye kuboresha matatizo...
St John’s vision statement is;
“To be a centre of excellence for developing humankind holistically to learn to serve”
Our aim is to provide a high quality holistic delivery of university...
Naandika thread hii nikiwa na uchungu mno nikiwa kama muhanga wa HESLB na wakuu fulani fulani ambao wamezoea kuassume tu kila wakat kama walivyokua wanafanya ana ana anado kipindi wapo mashuleni...
Habari za muda huu.
Bodi ya mikopo walitoa tamko kwamba hadi tarehe 10/10 watakuwa wamekwishatoa majina ya waliochaguliwa kupata mkopo. Siku chache zilizopita mama ndali alisema kuwa hadi katikati...
Wakuu salaam....
Hiv GPA ya mwisho ambayo huandikwa ktk cheti au transcript ni sawa na average(wastani) wa GPA za miaka yote, ambazo hutolewa mtandaoni kama matokeo ya kila mwaka au semster...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.