Habari za asubuhi hapa jamvini.
Ni matumaini yangu kuwa mmeamka salama wale ambao mpo mapuzikoni kila la kheri. Na wale ambao mnaenda kuwajibika nawatakia kazi njema.
Ni rudi kwenye mada yapata...
Apply to Swedish universities, courses, and programmes: University Admissions in Sweden – Universityadmissions.se
Jamani kama kuna aliyewahi apply kupitia website hapo juu anisaidie maana I can...
Nilichaguliwa udom first selection nikiwa kwenye group la multiple selection. Sa nkapigiw na admision oficer wa udom akasem kama nataka kwenda udom nimwambie aconfirm, nkamwambia aconfirm na mm...
Nitashangaa wakikosa mikopo - Rais Magufuli
Friday , 27th Oct , 2017
Na Gerald Kitalima
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa atashangaa sana...
Natumai kuanzia kesho new comer wataanza orientation day kwa baadhi ya vyuo na baadhi ya vyuo ni jumatatu.
Kuna maisha ya EXAMINATION kila mwisho wa semester na SUPPLEMENTARY pia zipo.
Mind your...
WanaJF Mimi nimeconfirm UDSM lakini SUA wamenitumia admission letter hiyo haitonisumbua kweli na mpaka sasa hivi mkopo sijapata huenda ndo ikawa sababu? msaada please kwa mwenye ufahamu
SHIME...
INTER-UNIVERSITY TRANSFER PROCEDURES
1.0 Introduction
----------
As provided in Sections (12) (2) (a) (b) (c) of the Universities Act Cap. 346 of the
laws of Tanzania read together with...
Nimekaa nimewaza kutokana na mifumo yetu ya elimu ya juu inawezekana mtu kuwa na bachelor(degree) mbili ambazo amezisotea zote kwa miaka 3 au 4 kila mojawapo ambazo ni tofauti na postgraduate au...
Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema watahiniwa 662,035 kati ya 909,950 waliofanya mtihani huo wamefaulu kwa kupata alama 100 au zaidi kati ya alama 250 wanazopaswa kupata.
Dk...
Baada ya kutoka matokeo kwenye awamu ya kwanza, tulilishuhudia hili la wanafunzi wengi kupata vyuo zaid ya kimoja.
Je likitokezea tena kwenye 2nd round si litapelekea kuwepo kwa 3rd round?
Huu ni...
Huwezi amini watu 36 tu ndio wamebahatika kupata mkopo chuo kizima cha ardhi kwa hawa freshers na continuous students wote wamekatwa katwa pesa zao hakuna mwenye pesa complete kama aliyoipata...
Ningependa kujuzwa,ni tovuti yenye past papers za masomo ya a-levels?
Ningependa kujuzwa pia bei ya reviews za masomo ya a-level na hasa History Geography na English Language.
Natanguliza shukrani.
Zimebaki siku chache sana kabla ya kufika tarehe maalum iliyopangwa karibu na vyuo vyote nchini kwa ajili ya kuripoti kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza.
Kuna wanafunzi waliochaguliwa nje ya mikoa...
You have a Credit of 1,465,000.00
S/No Fee Academic Year Pay type Reciept/Inv No. Date Paid Amount due
1 University Fee 2017/2018 INV.hidden info........... 16-10-2017 0.00 1,300,000.00
2 TCU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.