Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Sina meng ingia #olams log in then nenda attachments confim.... na ukimaliza hutoweza ku attach cheti kingine tena
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu nilichaguliwa kwenye multiple, cha kushangaza jina naliona chuo kimoja na vyuo vingine silioni kwa vile ilikuwa mwisho tar 18 kukomfem nilituma kwa njia ya SMS kukomfem na walinijib welcome...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Habari wakuu? Hii ni taarifa mpya kutoka TCU kuhusu udahili kwa undergraduates 2017/18.
2 Reactions
54 Replies
8K Views
Nina kijana wangu kamaliza kidato cha sita mwaka huu, sasa kuna rafiki zake wanamchanganya kuhusu chuo. Kila mara anaongelea kuhusu Archbishop James University (AJUCO) kilichopo Songea, na imekuwa...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Msaada tutani ndgu wanajamvi ninashida na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2001. Naomba msaada jinsi ya kuyapata
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Mimi nilikoconfirm second round udom, ila Mpaka sasa sijapata joining instruction wala admission letter Naombeni kwa yeyote mwenye nazo anisaidie,, maana Mpaka sasa sijui nafanyaje Msaada please
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka kwenda kuchukua mchepuo wa PCB PANDAHILL mbeya.kwa maoni nakaribisha
0 Reactions
15 Replies
3K Views
WANAFUNZI 14,000 kati ya 40,000 walioomba kujiunga na masomo ya juu wamechaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika mwaka mpya wa masomo 2017/18 unaoanza wiki hii. Mkurugenzi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tumsifu Yesu Kristu (T.Y.K), Kuna jirani yangu anaomba msaada wa kufahamu shule ya seconday ya Kiislamu ili ampeleke binti yake aliyemaliza darasa la saba mwaka huu. Ufaulu wa shule nalo ni jambo...
0 Reactions
14 Replies
15K Views
Wakuu naomba msaada wenu nimeona nikiweka matumaini makubwa kwenye HESLB pengine inaweza leta shida hivyo kwa yeyote anayefahamu mahala pengine popote ambapo wanatoa mkopo kwa wanafunzi ni...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
till nw watu hatujui tumepata asilimia ngapi japo majina tumeshayaona kupitia pdf za watsup. kwenye ku apply pia ilisumbua mtu umelipa lakin account haifunguki wengine control no unapata baada ya...
0 Reactions
4 Replies
877 Views
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu wa iyo kozi tajwa apo juu .Inahusu nn na kwa upande wa ajira pia
0 Reactions
3 Replies
7K Views
wadau ipi ni nzuri na kwa upande wa ajira pia
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Juzi nimepata taarifa ya kuwa nimepata mkopo ,na kabla ya hapo niliiasha confirm udom sasa nimepata kazi juzi hivyo nataka kubadilisha nisome hapahapa dar ili iwe rahisi kufanya kazi na pia...
0 Reactions
4 Replies
943 Views
Wadau nataman kujua dalili za pressure kuwa chini na madhara yake
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa vijana wote waloomba vyuo kabla ya TCU kutoa mwongozo! Jamani wengi mnakumbuka karibia kila chuo kilikuwa na ada yake mfano wapo waliolipa 30,000 UDOM, 20,000 UDSM, 20,000...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wadau. Awali ya yote ashukuriwe Mungu mwenye kutuwezesha yote. Nashukuru Mungu nimepata chuo, mwanzo nilikuwa kwenye majina ya watu wenye matatizo, baadae udsm wakanichagua katika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Form four index number yangu ni S0912.0088.2014 na password ni 0757988254
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom