Wanabodi hali tete inayoutetemesha mwili wangu ni baada ya kufungua account yangu ya HESLB na kukuta sehemu ambayo niliattach vielelezo vyangu kuonekana sikuaatach hiyo sehemu nyekundu...
Msituchoke jamani wanaJF maana mzuka wa kupata chuo ushayeyuka naomba kuuliza kwa anaejua HESLB wanatoa lini majina ya 2nd batch atujulishe #MUNGU USIYERUHUSU WAKUTEGEMEAO WAAIBIKIE SASIMAMA...
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AWAMU YA TATU YA UDAHILI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inatangaza kuwa Awamu ya Pili ya Udahili wa waombaji wanaotarajiwa kujiunga...
Kama uliomba UDOM mwanzoni kabla ya TCU kutoa mwongozo kuwa vyuo vyote vya umma hela ya kufanya maombi iwe 10,000 na wewe ukalipa 30,000 basi unataarifiwa kuwa kama umechaguliwa pale 20,000 yako...
Naipongeza sana heslb kwa jambo moja kubwa ambalo halikuwahi kutokea huko nyuma. Jambo lenyewe ni kupeleka pesa za mikopo vyuoni kabla ya vyuo kufungua. Hivyo kuondoa usumbufu mkubwa wapatao...
Nipende kuwapongeza niwakaribishe pia CUHAS ila Kuna vitu vichache ila muhimu vizingatie kabla hujaja ili usisumbuke badae:
Maadili kitu Cha muhimu
Nguo fupi,zinazoonesha kwa ndani au mabega nje...
Habar wakuu naomba msaada kuhusu hii registration form ya udom je wanavosema kuna karatasi nne lakin then moja nikae nayo!!sijaelewa wadau nipeni jibu wadau
Pili je NHIF na NSSF ndiyo kote...
Kwanza nipende kuwa pongeza kwa kujitahidi kutoa course nyingi na nzuri..nadhan watanzania wengi hawajajua umuhim wa hiki chuo
Lakini bado wanakasumba ya kufanya kazi kwa mazoea hasa kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.