Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwanza hongereni kwa kupewa nafasi ya kuendelea na elimu ya juu. Pili hongereni kwa kupata chuo TAKATIFU kwanini nimesema takatifu?? Ni chuo kizuri kwa Mazingira Lectures wake sikuwahi kumchukia...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa wale waliochaguliwa ruaha university na watakaa geto tukutane Hapa.nauliza vyumba vya kupanga ni bei gan na maeneo gan ni gud
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Hiki chuo ckielew ubora wake wala ubora wa Koz zake .jaman kwa anaefaham kuhus maritime transportation msaada please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanafunzi 24 wa Chuo Cha Uuguzi Cha Berega kilichopo Kilosa mkoani Morogoro wametelekezwa na mfadhili wao Chama Cha Lions Clubs Morogoro ambacho kiliahidi kuwasomesha na kuwatafutia ajira baada ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mimi naipenda sana demokrasia, pia napenda niwe mwanadiplomasia elimu yangu ni kidato cha 4 point 29 arts. Nipo Tabora nimejishikiza sehemu napata hela ya kula na maisha yanasonga. Naamin...
0 Reactions
2 Replies
945 Views
Ile special diploma ya kikwete ipo au imekufa?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenye uelewa/ujuzi na kozi tajwa hapo juu naomba anisaidie tafadhali, jinsi ilivyo na upana wake kwenye soko la ajira/kujiajiri.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimemaliza chuo, ajira za ualimu imekua ahida kwangu, Je niendekee kusaka ajira au nikasomee udeleva wa magari makubwa ( ajira uhakika)
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wapendwa kuna kitu kimoja ambacho nimekua nikishangaa kuaona mwanafunzi anayefaulu darasa la saba na akachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza serekalini(shule za kata ) anafeli kidato cha nne...
0 Reactions
9 Replies
936 Views
Aliepo au anaefaham chuo kikuu cha makumira Arusha
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Habari zenu wakuu!! Je dental laboratory technology kwa ngazi ya diploma ni njema kwa maslahi binafsi na kwa nchi kwa ujumla? Nisaidien wakuu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza nipende kuwapa pole na shughuli mbalimbali, na hongereni wananchi wote kwa mafanikio ya mwaka huu. Najua Tunamuomba Mungu ili aendelee kutulinda na kututunza kila iitwapo leo, pia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mwalimu yeyeto aliepo dar anafundisha sekondari alietayari kuhamia Arusha mjini anatangaziwa zawadi ya 1,300,000tsh ikiwa atakuwa tayari kubadilishana vituo vya kazi. Hakuna utapeli kama una...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
WALIOCHAGULIWA MUM KAMA WAPO MWONGOZO WADAU KUHUSU KOZI YA LAW AND SHARIAH IKOJE HIYOO WADAU
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Ninaomba msaada kwa yoyote anayefahamu Journals zenye impact factor nzuri/kubwa, zinazopokea scientific papers na kuzipublish bila kutoza pesa yoyote kwa Authors. Journal...
0 Reactions
2 Replies
509 Views
@natgeo getting up close and personal with a large American Crocodile during a sunset thunderstorm in Gardens of the Queen, Cuba. Paul and I worked together to capture this unique perspective in...
1 Reactions
0 Replies
559 Views
Badilikeni jamani, sio vizuri. Mkipigiwa simu mpokee au kutoa majibu ya kueleweka. Nawasilisha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
UDSM wale wa mature age wanapatikanaje? Nina credit.6 O.level na cheti cha journalism, naweza kusoma law? Pia nina dipl. niliyoipata London School of Journalism through distance learning. NACTE...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina cheti cha certificate kweli kuna uwezekano wa kwenda kujiunga na diploma
0 Reactions
10 Replies
36K Views
Jamani natafuta mtu aliyewahi kufanya mtihan wa RPL wa kujiunga chuo kikuu tuwasiliane au hata una rafiki au ndugu anaweza kunipa maelezo kuhusu huu mtihani anitext tuwasiliane 0625757350.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom