Baraza la mitihani la taifa sasa limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa darasa la saba mwaka 2017 ,bofya link (maandishi ya bluu) kuyatazama matokeo
MATOKEO YA DARASA LA SABA BOFYA HAPO CHINI...
Tukiwa tunasubiri joining instruction tupeane mawili matatu kwa wote tuliochaguliwa hapo na hata pia wazoefu wa chuo hicho waliowah kusoma.
Binafsi mimi nimechaguliwa diploma ya medical...
Wakuu kwa wale tunaopenda kujua graphic designing tukutane hapa..Mimi binafsi napenda sana kuijua hii kitu kwani inaweza nisaidia kujiajiri...wale magwiji wa graphic designing tukutane hapa...
Habari! Samahani naomba kuuliza kama kuna mtu anafahamu chuo kinachotoa mafunzo ya sheria ngazi ya cheti kwa elimu ya masafa au distance learning as open university! Ahsante
Matokeo ya shule za msingi yametoka huku shule za msingi toka mkoa wa Singida zikiongoza kwa kufanya vibaya katika matokeo hayo.
Kwa kifupi ni mkoa ambao umeshika mkia katika ufaulu. Hongereni...
Habar za muda huu...???
Nina mdogo wangu kachaguliwa kozi hizi sasa hapo anahitajika a confirm moja tu ili akasome
Nimeleta kwenu wakuu ili mnijuze hapo akasome kozi ipi kati ya Bsc of human...
Wananzengo kwa wale waliopita MKWAWA sekondari,hasa waliokuwa darasa la mwisho,tukumbushane interesting stories za kunzia tukiwa pale 2003-2005 ambapo sekondari ilifutwa rasmi.Baadhi...
Wana jf naomb kuulza kuna yoyote ambae amechaguliwa Ardhi university katika course ya architecture akiwa na division 111.kama yupo anambie na mimi niomb round ya mwsho
Nlkuwa naomba niwaulize wadau wa jf ,et kati ya kusoma COMPUTER SCIENCE udsm na BUILDING ECONOMICS ardhi,IPI n faculty nzur hasa kulingana na soko LA ajira kwa nchi yetu ......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.