Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mwenye uelewa/ujuzi na kozi tajwa hapo juu naomba anisaidie tafadhali, jinsi ilivyo na upana wake kwenye soko la ajira/kujiajiri.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini za usiku wana jamvi ,hvi kwa mikoa ya Lindi na mtwarA wapi kunapatikana wale tuition provider wa kozi za NBAA?
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Hongereni kwa kuchaguliwa "The White University" Nawashauri hivi:- 1. Yapo makampuni ya mabasi yatawataka mlipe pesa benki ili yawasafirishe hadi UDOM- Kataa kwani watakupiga hela halafu safari...
74 Reactions
1K Replies
183K Views
Jaman nauliza tapata wapi joininstruction ya udom upande wa diploma.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau wa open university degree tukutane hapa tujuzane mambo mbali mbaliii kuhusu open university
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwenye uelewa/ujuzi na kozi tajwa hapo juu naomba anisaidie tafadhali, jinsi ilivyo na upana wake kwenye soko la ajira/kujiajiri.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau kwanza namshukuru Mungu kwa kupata chuo hasa baada ya mwaka huu kuwa na ushindani mkubwa. Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliopita stashahada(diploma) na kupata GPA ya 4.6 niliomba udom na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Me nimesoma pale 213|2015. Chini ya mwl.mkuu John Sweke. Ugumu Ugumuni[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] But at the end nakaribia kupata degree yangu saizi[emoji310] [emoji310]...
1 Reactions
73 Replies
9K Views
Wanabodi poleni na majukumu. Nafahamu kipindi hiki ni kipindi ambacho udahili ktk vyuo mbali mbali unafanyika. Kutokana na mchakato wa udahili kuwa tofauti mwaka huu, kumekuwa na matukio ya mtu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna chuo niliomba toka 1st round na jina langu limekuja katika yale selected but not approved mpaka sasa. Na nikaomba tena chuo chengine katika 2nd round ila nikakosa. Je naweza kuomba tena...
0 Reactions
3 Replies
777 Views
Nina ndgu yangu kamaliza form six kapata div point 13 kafanya application mara mbili awamu zote katka vyuo vyote jina lake halijatoka. This tym kafanya application only katika chuo kimoja kwa mara...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimeingia kwenye tovuti ya Tanzania Social Support Foundation (TSSF), nikiwa na malengo ya kuwafahamu zaidi pia kufahamu masharti yao. Cha kushangaza sijakuta chochote kinachoelezea vigezo na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kufahamu kama kuna mtu yeyote umu ambae ana nufaika na mikopo ya elimu ya juu katika hilo shirika Ani tafute kupitia number 0718070205 kuna mambo nahitaji kujua ahsanteni sana kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar yenu.... Mm ni mwanafunzi wa kidato cha tano mkazi wa dar-es-salaam lakin nimepangiwa huku tanga katika SHULE YA SEKONDARI KWEMARAMBA .,... Nimekutana na changamoto nyingi sana zikiwemo...
3 Reactions
99 Replies
11K Views
Ambaye anawajua wanafunzi waliofanya vizuri zaidi kitaifa kwenye mithani wa kidato cha sita aweke hapa majina hayo.
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha IFM, ningependa kujua yafwatayo kiundani yaani faida na changamoto za hili hapo chini-: Kupanga chumba na kukaa hostel kupi ni bora zaidi...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Jaman naomben ushauri nimechaguliwa UDSM lakin coz cjaipenda lakin ndoto ilikuwa n kuchaguliwa UDSM pia nimechaguliwa ardh coz nimeipenda lakin cjapenda kusomea hyo coz hapo.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mwaka huu inawezekana kuhama course na chuo yani nataka kuhama kutoka forestry sua kuhamia wildlife and conservation udsm kwa anayezijua procedure anijuze.....
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuja kuliweka sawa hili baada ya kuona mkiitwa vilaza.Tambueni nyie sio vilaza kama mnavyoitwa na wengine ila wajibuni tu kuwa nyie ni vilaza Kwa courses mlizochagua awamu ya kwanza. Hivyo...
1 Reactions
3 Replies
884 Views
Back
Top Bottom