Namshukuru mungu kwa kusikia kilio changu, mimi nimechaguliwa mzumbe kusomea information technology system,
So naomben first batch na second batch wa mzumbe tupeane info juu ya nn kinahtajika na...
Kutokana na Changamoto zinazoendelea kwenye admission za vyuo vikuu mwaka 2017/2018, kuna hatari kubwa ya waombaji kukosa vyuo! Mpaka sasa Changamoto ni kubwa hasa Multiple admissions! Swala...
Habari wana Jukwaa...
Kwa Yeyote Anayesoma au aliyewahi kusoma Kozi inayoitwa Public relations and Marketing naomba anijuze Majukum yake kikazi na mambo ambayo utajifunza Chuoni kwa Manufaa yako...
habari wadau?
naombeni msaada wa kunisaidia contacts za mwanafunz yoyote anaesoma shule zifuatazo ambaye hajamaliza bado.
kuna information nazihitaji sana
nitafurah sana akiwa...
Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba uliofanyika Septemba 6 – 7, 2017 yametoka yakiwa naongezeko la asilimia 2.40 ukilinganisha na matokeo ya Darasa la saba ya mwaka jana (2016). Katibu Mtendaji...
Asalaam ,Uzi huu ni mahususi kwa waombaji wa undergraduate wenye sifa zote tuliochaguliwa na vyuo mbalimbali lakini majina yetu hayakuthibitishwa na TCU kwa sababu database yao inaonesha sisi ni...
Wanajamvi leo pitapita zangu nikakutana na matokeo ya walioappeal ila kati yao sijaona hata mmoja aliyehama either kwa kushuka au kupanda daraja. Sasa kuna mdau alifanikiwa kuappeal akapata...
Jamani kwa wale wa sua ambao mmekua admitted kwa mwaka wa masomo 2017/2018 au ambao wanaendelea naomba kuuliza eti semister ya kwanza gharama zipoje yan ada na mengneyo msaada tafadhalin ndugu...
Ndugu wanabod nahis tumbo LA kuhara limeanza naomben kuuliza INA maana tusiohakiki vyeti vya kuzaliwa Rita ndo tumekosa mkopo?maana naona awam hii hata wameshindwa kutupa nafasi ya marekebisho ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.