Habarini wakuu.
Mungu akijaalia around this time mwakani nina mpango wa kufanya certificate ya MICROSOFT CERTIFIED SOLUTIONS ASSOCIATE (MCSA).
Hivyo nataka niaze taratibu kujua A B C's za...
Wakuu kwa yeyote mwenye kuifahamu hii shule ya holy cross ya temeke ambayo mwaka huu 2017 imekuwa ya kwanza wilaya ya temeke ya kumi na moja kimkoa na ya hamsini kitaifa
Nitashukuru kwa kueleweshwa
KINONDONI YAONGOZA KITAIFA MATOKEO DARASA LA SABA
Wilaya ya Kinondoni imeongoza kitaifa mwaka huu 2017 katika ufaulu matokeo ya darasa la saba kitaifa, imeelezwa.
Kwa mujibu wa taarifa...
Matokeo ya darasa la Saba yametoka! Hongera Kwa Ufaulu mzuri! Kitu ambacho kimenishangaza kidogo kwenye mikoa ambapo CCM wanapata Kura za bwelele bila kuiba au kutumia nguvu ndio mikoa ambayo...
Salam!
Wadau nimekuwa nikipata taabu sana ,hasa nikijiuliza hivi Elimu inapaswa kusimamiwa kwa hekima,umri,uzoefu ama kisayansi,kisera na kisheria.
Kumekuwa na Sera nyingi mfano Sera ya Elimu ya...
QuickBooks Essentials – 1 Day
This intensive one-day training will equip you the ins and outs of QuickBooks so that you can take advantage of QuickBooks more unique features. By the end of this...
Habari wana JF!
Mimi ni kijana wa kitanzania ambae July mwaka huu nimetimiza umri wa miaka 22
Nimesoma shule za government from primary mpaka advance nilihitimu kidato cha sita mchepuo wa PCM pale...
Hbari wadau naomba kuuliza hvi ni sifa zpi za kujiunga na chuo cha ualimu veta Kilichopo Morogoro mwenye uzoefu ni mwz gani wakutuma maombi na kuanza masomo.
Habari wakuu ningependa kufahamu kama kuna mtu anafahaamu chuo kinachotoa DIPLOMA in EDUCATION wakati wa likizo za jun na december au kwa private study
habari zenu wanajukwaa,kama tittle inavyojieleza hapo Juu kama unajua chuo kinachotoa diploma ya agricultural engineering naomba kujuza tafadhali. Asante
Kama Uzi unavyojieleza karibuni tushare experience zetu za pale shule kongwe na pendwa kwiro uboizin lengo ni kufahamiana, kukumbushana changamoto za pale na mazuri tuliyoyapata
Sorry wana jF, naomba msaada kwa anayejua je kuna possibility ya mtu mwenye diploma ya ualimu mwenye masomo ya kufundishia ya hesabu na chemistry kwenda kusoma degree Ya engineering kama civil au...
Jamani niliaply second round MUCE,DUCE ,UD ,UDOM na private saut na rucu iringa juz majna yametoka lakin nikawa sjachaguliwa vya selikali ila rucu ndo wakawa wamenichagua mpaka Jana vyuo vya...
Niende wapi? naombeni ushauri. nimechaguliwa vyuo vinne nmesoma science PCB 1.bachelor of education in special needs>UDOM 2.bachelor of education in science>MUCE 3.bachelor of science with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.