Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu nimechaguliwa course iyo IFM... Kwa mwenye ufaham au nikabadilishe..., Naomben ushauli
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. awamu ya kwanza ya majina ya waliopangiwa mikopo mwaka 2017/18 iko tayari. BONYEZA HAPA kuona jina lako! Link hiyo itakuelekeza moja kwa mja kwenye ukurasa wa ku...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Nina rafiki yangu kamaliza chuo atc telcommunication diploma Ana GPA ya 2.9 - lower second class je? Anaweza kuendelea kusoma degree au ndo mwisho wake umeishia hapo. Maoni,ushauri wadau mchana mwemA
0 Reactions
5 Replies
662 Views
Msaada kwa anaeifaham hyo coz inahusik na nn na unawez kuajirw wapi na ada yake kwa udom ni shingap kwa anae jua plz
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Oyeee!! Nimechaguliwa chuo kikuu mlimani city naenda kusomea kozi ya kuesabu ela, asante sana Mungu maana ntakuwa na ela nyingi sana.
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Tangazo Tangazo Kwa wale wote wenye shida ya kupata join instruction za udom unaweza kunifatafuta kwanamba 0656072347. Nitaidowlod nakukutumia kwanjia ya whatsapp garama ni shiling 500
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mimi nimemaliza PCB,Nina div 1.8 nimeomba MD nimekosa,ni kozi nyingine nzuri naweza kuomba kwa point niliyonayo?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna ye yote aliyepata kwenye awamu hii ya kwanza? Tafadhari tushirikishane
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza nimedisco mwaka huu na nimebahatika kuchaguliwa kwa mara nyingne UDSM nianze safari yng ya elimu kwa mara nyingne,nahitaji msaada wa maelekezo namna ya kulipia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani sua mzigo tayari angalia kwenye account
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) yapiga ramli, hicho ndicho unaweza kusema baada ya kutoa awamu ya kwanza ya majina ya waliopangiwa mikopo 2017/18 ambapo kati ya maombi 32,495...
6 Reactions
77 Replies
9K Views
habari wana jf mimi nimechaguliwa kusoma medicine udom second selection ambapo ni equivalent tuliambiwa tudownload adimission letter kuanzia tarehe moja mwezi wa kumi lakini cha kushangaza...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Msaada Wanajamii forum Anaepajua Nzega School Of Nursing
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Wadau kati ya faculty ya Agronomy na General Agriculture ipi ni coz nzuri wadau nipo najipanga mwakani niombe lakn saiz nina dip general agriculture nipo najipanga kwani mwaka huu niliombea cheti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
natumaini wazima wa afya poleni kwa majukumu.kuna baathi ya vyuo hadi leo bado hawajaachia 2nd selection je kama wewe umeapply hicho chuo unawaambiaje wahusika!!povu ruksa
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Wakuu, msaada plz Nimechaguliwa mwenge catholic university (bach in.geography and environmental studies na SAUT ( MWANZA EDUCATION WAPI KUTAMUUUUUU.....USHAURI
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari wakuu.Nina mdogo wangu baada ya kukosa nacte kutokana na competition nlimuombea vyuo viwili Maji na st Francis ifakara.kapata water supply and sanitation engineering na kingine kapata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna wanafunzi wanaweza kukosa vyuo kutokana na mfumo huu wa sasa kwa vyuo kuwafanyia wanafunzi confirmation au kufanyiwa confirmation na watu wanaowafahamu ili kuwafanyia unyama wakose vyuo,kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wakuu utaratibu waku confirm chuo ukoje.na je ukisha confirm feedback inachukua mda gani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi waungwana,kuna mshkaji wangu ameapply apo UDSM course ya Bsc in agricultural and natural resources economy and business, O level alipata maths C, geography C, chemistry C, bios D...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Back
Top Bottom