Nimekosa first na second selection kwa upande Wa diploma ya ualim Wa sayansi kwa form 4 Nina credit ya 1.9 ( chemistry C,biology C,geography C,physics D, kshl C Language C ,CVS C na mathematics ni...
Jaman naomba tuzidi kuomaba,
Mungu ameanza kionyesha mwanga...bahati nzur kat ya vyuo vilivyo anza kutoa majina...second...nimechaguliwa ...RUCU[emoji39] [emoji39] [emoji39]
The James P. Grant School of Public Health (JPGSPH) at BRAC University in Dhaka, Bangladesh is accepting applications for TDR International Post Graduate Training Scheme Master of Public Health...
Wadau nimeamua kanzisha huu uzi ili tuweze kubadilishana mawazo kwa ambao wanaingia mwaka huu na ambao wapo tayari katika masomo ili tuweze kujua tusicho kifahamu ili tuweze kutoboa.
SECOND BATCH OF STUDENTS SELECTED TO JOIN UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018http://www.mwecau.ac.tz/index.php/2013-09-24-08-36-52/latest-news
Msaada jamani kuna dogo kachaguliwa bachelor of art in geography and environmental studies.... Eti watu wanaosoma hii course wanaitwaje hapa Tanzania na wanahusika nini?
Dogo anahitaji kujuzwa...
Habari wakubwa,
Mdogo wangu amesoma Bachelor of arts with Education,bahati nzuri amepata sponsor wa kumsomesha Masters.
Naomba mnishauri course ipi ni nzuri kwa mtu aliyesoma Education.
Yeye...
Habari Wakuu..
Binafsi ni applicant wa vyuo viwili....ambavyo ni Muhas na udom.
Ambapo niliweka first choice MD vyuo vyote
01.Udom wameshatoa tayari sijaona jina langu kwenye ile list na kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.