Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
msaada course ipi ni nzuri naombeni mawazo yenu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbona wameishusha hadhi kwa admission points kama masomo mengine ya ufaulu wa chini? Siyo kama MD! Why? Bachelor of Veterinary Medicine Two principal passes in Biology/Zoology and Chemistry and...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Jamani wan Jamvi, napenda kuwashirikisha masikitiko yangu kwa hiki kilichotokea kwenye 2nd round admision ya vyuo vikuu na nitatoa mfano wa chuo kimoja. Jumapili nilijisajili CUHAS na kabla ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Et jaman naombeni anayejua wanavoangalia majina ya waliochaguliwa vyuoni kwa awamu ya pili anielekeze
0 Reactions
3 Replies
716 Views
Wadau nimexhaguliwa UDOM second round naombeni msaada juu ya kukomfemu tuuu.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Inashangaza kuona kuwa heslb walikuwa walikuwa wameahidi kutoa wanufaika wa mikopo kuanzia tarehe 10/10/2017. Baadaye bosi wao akasema watatoa katikati ya mwezi 15/10/2017. Lakini mpaka leo wako...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu, Kwa mara nyingine tena baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kusikika,tumerudi kwa kasi isiyopimika. Leo tunapenda kuzungumzia kuhusu sababu zilizofanya wanafunzi wengi wakose nafasi za...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu salama. Naomba ushauri wenu kuna dogo anahitaji kusomea either Postgraduate diploma in social work au Masters. Anaomba ushauri kuanzia marketability ya Course yenyewe (SOCIAL WORK) na...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam, naombeni msaada wenu wanajamvi kwa yeyote anayejua kozi ya 'Post Graduate diploma in pharmacy' ama inayohusiana na hiyo anisaidie, niweze anza...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanafunzi wenzangu tuliomo humu, naomba tubadilishane mawazo kidogo, tukumbushane, kuhusiana na shule yetu kongwe ya BULIMA SEC pia mimi binafsi bado nawakumbuka walimu wangu akina MSHEDEDE...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Ni kweli MTU anaweza kuomba third round wakati majibu ya second round bado ! mpaka sasa vyuo Vingine havijatoa majina ya second round! mbaya zaidi tar 18/10/17 mwisho wa maombi awamu ya tatu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu...ni miongoni mwa degree program zinazodharauliwa lakini yote nikutokujua umuhimu wa program kama hiyo katika maisha yanayotuzunguka. nakumbuka wakati nachagua hii...
2 Reactions
65 Replies
20K Views
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) TAARIFA KWA UMMA Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia Umma kuwa Awamu ya Pili ya Udahili wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Naombeni kuulza second batch vyuo vitatoa baada ya muda gani?
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Hii Kwa Ajili ya Mwaka wa Kwanza Waliochaguliwa Cozy hii hapo... BSc Agronomy, ni Moja ya Degree programs Zinazotolewa na Chuo kikuu cha Kilimo Cha Sokoine.. (SUA) Agronomy (Ancient Greek...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mm nakumbuka mwaka jana nilikosa round ya kwanza nikakata tamaa lkn round ya pili nikapata, kuna rafki zangu walikosa bado baadae wakaja kupata vyuo hvyo nawasihi wadau msiwaze sana ila muwe...
0 Reactions
2 Replies
662 Views
Habhari zenyu wakuu! Nmechaguliwa kozi tajwa hapo juu, so naomba wenye ufaham na hiyo course uzuri wake ubaya wake na challanges zake pia na lolote lile muhimu kuhusu hiyo kozi naomba anijuze...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangu mwaka 2015 chuo kimekuwa kinajaribu kupandisha ghalama za kusujiliwa chuoni, Walianza kwa kutaka kupandisha pesa ya kulipia kwa siku kutoka tsh 500 kwa kila mwanachuo had I kufikia tsh 1000...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Aya wale wa nacte fanyeni fasta kuchek unaenda wap
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Je kuna uwezekano mtu aliyepata div2 ya point 12 kukosa tena second selection?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom